mwanamke

  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

    Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi. Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

    Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana. Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani . Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunapenda hatari

    Kuishi kwa hatari ndio jadi yetu Wanaume. Tokea utotoni michezo yetu mingi ilihusu mapambano, kuuwana, na kuchinjana. Nakumbuka tulikuwa tukipiga kelele kali sanaa kutokana na hashishi iliyoletwa na michezo yetu ya maigizo. Sasa tumekuwa wakubwa mambo ya kuigiza hamna tena, ila kuna vitu viwili...
  4. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hutakiwi kufuata Dini ya mwanamke, Mwanamke ndio afuate yako

    Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe. Mwanamke anapoolewa na mwanaume, automatic huondoka katika jamii yake na kwenda katika jamii ya mwanaume...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unajisikiaje unapobambikiza mtoto kwa baba tofauti?

    Tabia ya kubambikizia akina baba watoto wasio wao imeendelea kushamiri miongoni mwa akina mama. Swali langu kwenu, mnakuwaje na amani katika maisha yenu kwa kukaa na siri kuu namna hiyo? Unakuta wengine wamekuwa walokole au wanaenda kuungama, je dhambi hii mnaiungama pia? Na kama mnaiungama, je...
  7. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimekataa na nitaendelea kukataa kuchomwa sindano ya kalio na wauguzi wa kike wadogo kiumri

    Sekta ya Afya inabidi ijitafakari sana, ebu fikiria yaani mimi kama mimi baharia Wadiz nichomwe sindano na kabinti kadogo ka nurse umri 20 yrs, hivi hii ni haki hako kamanzi ka hio age kanishike tako, hio hapana, it can't be. I think age has to be customized with service delivery, huyo nurse...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  10. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  11. 101 East

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 20 kwa kukutwa na bangi

    #HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake. Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
  12. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  13. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  14. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

    Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana. Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke wako anachepuka tazama Miamala

    Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo. Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako...
  17. Abuu Nuwas

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anaekupenda

    Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi? Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia...
  19. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
  20. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Si niliwambia msioe:- Kuna mwanamke anaenda kuangukiwa na chuma kizito kisa ndoa..!!!

    INTRODUCTION... Za muda Wana JF ....... Unaukumbuka mkasa huu wa John, Michael na Mkewe.... https://www.jamiiforums.com/threads/nikiwaambia-msioe-muwe-mnasikia-kwa-miezi-4-mwamba-kaishi-maisha-magumu-bila-mshahara-kumbe-mkewe-ana-laki-8-ndani-na-usaliti-juu-kaambulia.1925237/ MAIN BODY...
Back
Top Bottom