mwanamke

  1. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

    Mambo zenu wakuu? Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji. Mtanishukuru baadae.
  2. GLOBAL CITIZEN

    JamiiForums Tanzania Pesa bhana, kama Mwanamke Mzuri vile (Pisi Kali) usipompa attention anakukimbia

    Kwanza kabisa napenda kuwasalimu Jf family. Ni tumaini langu u buheri wa afya. Kama sivyo nakuombea upate afya njema ili uendelee na kazi zako zakusaka noti. Leo nataka nikuonyeshe jambo kuhusu pesa na pengine itakusaidia kubadili fikra zako vile unavyoiwazia pesa. Kwa wanaosoma nyuzi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nashangaa sijamsikia Lissu, Magufuli wala Lipumba 'wakilisemea' hili ila huyu Mwanamke 'amelisemea' vyema mno

    "Lakini TFF lazima niifute kwanza, ninawaomba Watanzania mnipe ridhaa yenu nikaifute TFF ndio inayotuletea migogoro, hizi timu zetu zisingekuwa na migogoro, mara migogoro na wawekezaji mara migogoro na wachezaji lakini chanzo ni wao".Cecilia Mmanga. ITV Tanzania Japo Rais wa TFF Wallace Karia...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga ni Mwanamke chuma anajielewa na ni mpinzani wa kweli ila ADC ni koti chakavu

    Huyu mama nimepata bahati ya kusikiliza Sera zake nikaona ni mtu makini na mwenye future katika siasa za Tanzania ila tatizo chama anachotoka cha ADC ya Hamad rashid kimekaaa kiunafiki unafiki. Tofauti na viongozi wake wa huko visiwani ambapo adui yao mkubwa ni maalimu lakini mama Queen yeye...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

    Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
  6. safuher

    JamiiForums Tanzania Usisubiri mzazi akuombe ndio umpe, sio busara

    Wakuu kuwasaidia wazazi wetu tusisubiri simu ya haloo baba tunashida huku,alafu wewe ndo unatuma alfu kumi,sio busara. Ukipata chochote tuma japo 10% ya ulichopata sio mpaka wakuombe,nao watu wale wanaonaga jau kuomba kila mara. Usisubiri upate laki ndo utume alfu 30, wewe umepata kidogo tuma...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  8. yuda75

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

    Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

    Tuwe waaminifu, tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi. Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote nyama ni ileile sio kweli..nyama ni tofauti. Nakumbuka Sophia alinionya nisimtongoze mate...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
  12. Heater

    JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

    Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

    Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko. Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani) Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Wapwa, Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili. Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
  15. yuda75

    JamiiForums Tanzania Harufu ya asili ya mwanamke ni very Romantic kuliko ya kujipulizia pafyumu

    Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa...
  16. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu inayozuia mwanamke asichepuke

    Ni hivi wanaume wengi tunafikiri mwanamke akikubali kuolewa na wewe ndio anakupenda koo sio rahisi kukucheat kitu ambacho si kweli. Ukweli mchungu ni kua wanawake wengi wanakubali kuolewa na wewe ili tu apate heshima kwene jamii inayomzunguka ila anakua hana hisia na wewe ata robo wengi wao...
  17. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  18. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Huezi mridhisha mwanamke kamwe

    Oya niadje wanangu Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela

    Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela ila yeye ndiye atakupa wewe. Atafanya kila awezavyo akutafutie vizawadi ili ujue anakupenda. Atatumia gharama zake mwenyewe. Mwanamke anayekupenda anakutaka wewe tu kama ulivyo anakuhitaji tu wewe. uwepo wako kwake unatosha, hahitaji pesa yako...
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mwanamke shupavu na msaada mkubwa katika bunge

    Kwangu mimi Halima Mdee Mdee naweza kusema ndiye mwanamama jembe na shupavu asiyeogopa na hata hachoshi kumsikiliza. Ni moja ya wanawake shupavu sana nchini na msaada mkubwa sana katika bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Mwanamama ni msomi mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana...
Back
Top Bottom