mwanamke

  1. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

    habari za muda huu wakuu? naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe. ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Je ni halali kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?

    Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili: Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia ya kike mbele yake hata siku 1. Hii imenikuta last week,nilisemwa sana japo sikuwa na nia mbaya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuchukua room lodge/guest house kwa ajili ya mgegedo alafu mwanamke hakutokeza tujuane tupeane uzoefu ulifanyaje baada ya hapo

    Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi. 1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi classic nikalipa 25, nikarudi hostel nikawa na msubiria, sa 12 imefika hajafika bado but anasema nakuja...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akipewa nguvu tumekwisha, hivi tu haki sawa tunaisoma namba

    Habarini wana JamiiForums, hope wote mpo home mnaenjoy weekend. Sasa basi, ebu ngoja tuingie kwenye mada nimekutana na uzi huko watu wanalalamika eti mwanamke anadhalauriwa sana, sasa nataka niwape siri ambayo wengi hamjui. Mwanamke ukimpa madaraka lazima akutawale; utashikwa masikio utafinywa...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri?

    Kibaiolojia, mwanamke anazeeka haraka sana kuliko mwanaume. Je, mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri? Mfano kwa miaka 5 na kuendelea, huwa wanalenga starehe za muda mfupi au huwa na malengo ya kudumu katika maisha yao? Wajuzi wa mambo karibuni kwa mjadala
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke wa miaka 62 akamatwa kwa ujambazi na kuhukumiwa miaka 35 Jela

    Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019 Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

    Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe. Piga mateke ngumi...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Asili inavyomuandaa Mwanamke kuwa imara

    NGUVU YA MWANAMKE Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Fundisho la asili la nguvu za Mwanamke

    NGUVU YA MWANAMKE Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini inaonekana ni sawa kwa Mwanaume kulea mtoto wa mwanamke aliye Cheat?

    DOKEZO: Leo nimeamua kushusha uzi huu kutokana na video iliyovuma sana mitandaoni hasa twitter ndani ya siku tatu zilizopita. Video ilikuwa ikionyesha Jamaa akimletea zawadi ya Happybirthday mpenzi wake, ikiwa imefungwa kwenye mfuko mkubwa tu kana kwamba ni zawadi yenye ukubwa wake. Mwanamke...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimtongoza Mwanamke ndani ya Ndege anakukubalia kiurahisi mno kuliko ukimtongoza katika basi?

    Kwani Ndege ina 'Hirizi' gani kwa Mwanamke hadi hakukatalii na Basi lina ' Nuksi ' gani kwa Mwanamke hadi anakuwa Mgumu Kukubalia Upendo?
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu

    Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa Italia WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE 1. God will teach him/her how to love you through prayer 2. God will reveal things concerning you to him/her for your welfare 3. She/he will nourish your prayer life 4. She/he will protect...
  14. King Loto

    JamiiForums Tanzania Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

    Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora, Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first...
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitosa kugombea urais Zanzibar kupitia CUF. Afanya idadi kufikia sita(6) kwa upande wa Zanzibar

    MWANAMKE AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CUF. AFANYA IDADI KUFIKIA SITA(6) KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  16. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Huu niliofanyiwa sio utapeli?

    Siku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi. Lakini huyu rafiki alikuja na rafiki pia, tukakaa pale tukitupia moja baridi moja moto kifupi tulikuwa tunalipa kodi ya nchi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwanaharakati

    MWANAMKE MWANAHARAKATI Na, Robert Heriel Siku hizi dunia imebadilika na kuchukua sura ya kisogo. Kumeibuka makundi ya watu wajiitao wanaharakati katika mambo mbalimbali katika jamii. Wanaharakati walikuwepo tangu kale, zamani za mababu na enzi ya enzi. Zamani wanaharakati walijipambanua kama...
  18. IKARAHANSI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hakomolewi

    Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa wanawakomoa na wanawake/wasichana hao hawatapata wapenzi wengine. Mfano waweza kukuta kijana wa kiume...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

    Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural Na kila kitu katika ulimwengu wa damu ,macho na nyama kinawakilisha kitu Fulani katika ulimwengu wa...
Back
Top Bottom