Habarini wana jamvi wa MMU. Natumai ni wazima wa afya.
Kuna jambo moja la muhimu Sana, no ukwel usiopingika kwamba kwenye mahusiano kuna mabonde na milima.lakini ukiona mwanamke (mpenzi wako) kaanza dharau za hapa na palee juaa hapo tayaarii hakuna jambo, japo wengine huwa wanapima upepo...
Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako hajibu au anajibu kwa kujisikia simu hapokei na kwa bahati mbaya hata tunda hataki kukupa
Sasa hapa...
Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo.
Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality).
Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.
Sasa ukija swala la kudo...
Habari zenu wanajukwaa?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe ni mcha Mungu na awe na miaka kati ya 24 na 30.
Mwanamke mwenye mtoto mmoja anatakiwa awe na kazi...
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!
Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.
Niweke angalizo: 1...
Habari za Jumapili wana JamiiForums km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi hakuna kitu naogopa kama kumgharamia mwanamke vitu ghali
Kuna mwaka mmoja niliwah kutana na msichana mmoja jina kapunj huyu dada alikuwa bikra kabisa na niliitoa mm sasa siunajua maneno ya mtaan oooh bikra...
Dr. Kizzmekia "Kizzy" Shanta Corbett ni Viral immunologist katika National Institute of Allergy and Infectious Diseases, National Institutes of Health (NIAID NIH) based in Maryland - USA. Ni scientific lead of the VRC's Coronavirus Team.
Mchango wake na team yake ulikuwa kwenye SARS-CoV-2...
Habari watu wa JF
Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which.
Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa...
Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale.
Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.
Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo...
Hey! Wakuu wajukwaa hili naamini bado hamjakata tamaa kwenye lolote na bado mapambano mpaka dakika ya 90.
Basi wakuu katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja kaloweya Dodoma, sema kwao Handeni, malezi yake kapewa na mama wote wazigua, mtoto anaitwa Hamida, anyway nisitoe utambulisho wote...
Mambo mengi mda mchache...
Naombeni kuuliza hivi mwanaume ambaye mwenye elimu ya u Dkt. Engineering, Prof. akaoa mwanamke ambaye hana elimu yoyote yaani hajaenda shule hata kaenda alifeli darasa la nne na kurudi zake nyumbani huyu mwanaume yupo?
Na je watoto watakuja kurithi akili za baba yao...
Naomba msaada wa mawazo wakuu,
Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo.
Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
Nipo naongea kwa uchungu sana Wana JF naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa,
Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi
Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe...
Habarini za pilikapilika wakubwa,
Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.
Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.