mwanamke

  1. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  3. mapipando

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

    Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wageni

    Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama kigoda! Kwa tamaduni za pwani ni nadra kukuta viti ndani ya nyumba .. Na hii inatokana na ama...
  5. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hapendezi kuwa Dikteta

    Sijui ni kwanini malaika wote huchorwa wakiwa ktk maumbile ya kike, japokuwa inadaiwa kuwa hakuna mwanamke malaika. Yaani Mungu wetu anao malaika wa kiume tu, hana wa kike hata mmoja. Lakini michoro yote ya malaika ina wa Brand kama wanawake na si wanaume. Niliwahi kumuuliza mwalimu mmoja wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  7. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kususiwa mwanamke!

    Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana! Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe [emoji28] Vipi wewe...
  8. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  9. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

    Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana! Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ananilaumu kwa kumuacha na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Sasa ngoja nami niseme ukweli

    " Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye mapenzi nikisema tusubiri siku rasmi ya ndoa. Lakini ilishindikana baada ya siku moja tukiwa home...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

    Amani na iwe nanyi! Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae Wasifu wangu 1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years 2. Urefu: 5.6 Futi 3. Uzito: 80 Kg. 4. Rangi: Maji ya kunde 5. Kazi: Mjasiriamali 6. Elimu Degreee 7. Polite in nature 8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books) 9. I am...
  12. Marconho

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali. Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu...
  13. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

    Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee. Kuna Hali naipitia maishan mwangu, mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo. Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu. Mara...
  14. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  15. Professor jr

    JamiiForums Tanzania Kutomtamani Mwanamke kingono kwenye mahusiano kunamfanya apoteze kujiamini?

    Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa. Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano...
  16. Haluahalua020

    JamiiForums Tanzania Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  17. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

    Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
  18. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mwanamke asikamate ujauzito akiwa katika siku za hatari?

    Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Romantic anafariji na kuburudisha sana

    Nimekaa Zangu Lonely naangalia VIDEO MUSIC mbalimbali. Nimefika kwenye video ya nyimbo ya OTILE BROWN - Hi. Nmestack hapo mara kadha wa kadha. Nmeshaweka repeat Hii video ni mara ya 5 Sasa Niko pale pale Kwenye Hi- OTILE BROWN. Jinsi mdada anavyodemka na kujifaragua kimahaba kwa Otile brown...
  20. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

    Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
Back
Top Bottom