mwanamke

  1. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Makosa kwa kijana anapomtumia ujumbe mfupi mwanamke

    Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi...
  2. instagram

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa. Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine akamuacha msela akazaa na jamaa mwingine kisha huyo jamaa mwingine wakatemana manzi akabaki na mtoto...
  3. Mlachake

    JamiiForums Tanzania Kati ya njia hizi za wanawake kuonesha hasira ungempenda mwanamke yupi?

    Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
  4. Good Father

    JamiiForums Tanzania Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

    Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja. Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana. Tukapata msosi tukaelekea...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Wakuu, Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi. Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

    Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya. 1. Kumlisha mke wake ama mpenzi. 2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
  7. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanamke akifanikiwa mahusiano au ndoa itavunjika au itadorora

    Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa. Shida huwa ni nini lakini?
  8. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana mwanamke ambaye umekaa naye mahali akiwa amefunika simu yake

    Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?
  9. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

    Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao. Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

    Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
  11. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke anataka kuachwa, ana mimba na ashatolewa mahari

    Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika.. Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
  12. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Utajuaje mwanamke wako amekuacha siku nyingi lakini we unaona mko pamoja

    Je inawezekana mwanamke wako akawa ameshakupiga chini muda mrefu lakini we unaona mko pamoja yaani kila ukimuangalia mwanamke wako usoni mnaongea vizuri, mnacheka vizuri na kusex pia mna sex vizuri lakini watalaamu wa manbo wanakwambia huyu mwanamke kutokana na tabia hizi na hizi huyo...
  13. MashaJF

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping? 3) Marekani...
  14. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Nani ndo anampata mwanamke easily?

    Kati ya hawa guys wafuatao ni nani anaweza akauteka moyo wa mwanamke easily? 1.FUNNY GUY 2.ROMANTIC GUY 3.RICH GUY 4.HANDSOME GUY
  15. kibovu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

    Habari ndugu zangu, Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam . Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi kamasi hali ambayo mchumba wake alimtamkia hatoweza kukifua hicho kitambaa atafua mwenyewe jamaa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. =============== Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more...
  17. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke katika hisia za kimapenzi

    Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo. Watafiti wa masuala ya mahusiano...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  19. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Vitu 13 akikuonyesha Mwanamke ujue amekuzimia kwa dhati

    Amekuzimia? Anakupenda Kweli? Nini Kina Ashiria?. Kumuelewa mwanamke kama amedata na wewe inahitaji ujanja mwingi. Zifuatazo ni dalili 13 akikuonyesha mwanamke, kuna uwezekano mkubwa amekuzimia kimahaba. Ukiziona dalili hizi kwa mwanamke unaempenda, usisite kumuweka wazi kile unacho jisikia...
  20. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

    ★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote. ★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu. ★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako. ★4. Kuoana kabla...
Back
Top Bottom