mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Injili ambazo zinashusha Wingu

    Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu Mtumishi wa Mungu wa hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  3. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Tujitafari, Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani. Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo lakini siabudu kwenye kanisa lolote, wala dhehebu lolote, ninamwabudu Mungu katika roho na kweli.

    Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama wabizavyo Warumi. Huyu mwingine ni Mlutheri, ni mfuasi wa mafundisho ya Martin Luther, sio mfuasi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Shetani huwa anatushtaki sisi wanadamu kwa Mungu kila kuvunja sheria ya Mungu

    Jinsi ufalme wa Mungu unavyofanya kazi ni mfano wa ufalme au serikali inayofuata SHERIA zilizo katika katiba katika kutoa hukumu A HAKI kifupi ni kama mfumo wa MAHAKAMA ya haki. Mungu akiwa kama HAKIMU (2 Wathesalonike 1:5 kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki YESU malaika wa Mungu kama...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Ni Neema Gani za Mwenyezi Mungu Wanazozikanusha?

    Mwenyezi Mungu amesema: "Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13) Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari. Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  10. JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  11. JamiiForums Tanzania Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

    Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
  12. JamiiForums Tanzania Bwana Mungu ndiye mchungaji wangu mwema, sitapungukiwa na kitu

    https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ zaburi 23 Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso. Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu. Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
  13. JamiiForums Tanzania "Sisi ndiyo tumekufanya uwe Mtume na Mwenyezi Mungu ni Shahidi"

  14. JamiiForums Tanzania Walikuwa wanafurahia mauaji ya Mo29 wameanza kupata majibu Yao! Mungu hadhihakiwi

    Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao! Sasa Mungu hapendi dhihaka
  15. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Mungu hakukusudia kumuumba mwanamke.

    Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva) Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke. Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
  16. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Mungu hakukusudia kumuumba mwanamke.

    Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva) Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke. Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu amesahau dhambi zenu

    MUNGU AMESAHAU DHAMBI ZETU!!! "A KINGDOM FORGIVENESS STANDARD: A PRAGMATIC APPROACH" Amani na Salama 🙏🙏🙏 Ninayo FURAHA na ujasiri mkubwa kukupasha habari hii njema Sana! "Mungu AMESAHAU DHAMBI ZETU 🔥🔥 KIVIPI? Fuatana nami . ....!!! Ni ndoto ya Kila binadamu mwovu kumsahaulisha mdeni wake😁...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  20. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…