mungu

  1. Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  2. Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  3. Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!

    Wanabodi, Mimi ni mmoja wa wanabodi, mara moja moja siku za Jumapili, nitakuwa nawaletea nyuzi za mambo ya powers. Mamlaka Kuu kabisa ulimwenguni ni Mungu, kwa majina tofauti tofauti, Mungu Baba, God The Almighty, Mwenyeezi Mungu Subhanna wa Taalah, Allah, Yehova, Jehova, YEYE, I AM, etc...
  4. Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya "Uhai" Hakuzuii kifo. Ushukuru, Usishukuru, kufa kupo palepale

    Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti..... "Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu" "Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...
  5. Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  6. Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

    Wakuu, Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima! Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌 Siku hiyo ntapiga maji hadi...
  7. Mungu akiwa upande wako akuna adui atakeyekushinda katika maisha yako

    Warumi 8:31 Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Katika bibilia tunaona kwamba Mungu akiwa upande wako akuna kitu kitakacho kudhuru kwenye maisha yako. Mungu akiwa upande wako maadui wanaweza tumia njia zote kuweza kukumaliza lakini wakashindwa na...
  8. Katika jina la Mungu

    Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa. Walipewa majina ya kigeni. Walifundishwa lugha za kigeni. Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao. Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa. Walivisha kongwa...
  9. Naamini Mungu yupo(Nguvu Kuu)

    Sina mengi ya kusema Ila Mungu yupo na atendelea kuwepo. Mla Tamu na chungu pia hula. Usikate tamaa siku yako inakuja ukijuma katika Mishe zako.
  10. Vita Vya Iran: Ucha Mungu na ustaarabu

    https://youtu.be/xY9IEEN2K6Y
  11. O

    Nahisi kama si jambo sahihi na halina maana labda kama nakufuru Mungu anisamehee sana maana naaminini mungu yupo

    Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo. Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote. Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
  12. F

    Hivi TCRA ni mungu mtu chini ya jua juu ya vyombo vya habari

    Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi. Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN. Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
  13. Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi. Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
  14. J

    Kwanini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
  15. Soul of Praise Kaachia Wimbo Mpya

    Kusikiliza link: https://youtu.be/qLDq00Cz98I?si=dsRPioVXGZez_GcK
  16. Kwanini Mungu aliikataa sadaka ya Kaini akaikubali sadaka ya Abeli?

    Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili. Huwa zinasemwa tu nadharia mbalimbali kuhusu sadaka yake kukataliwa lakini bado haziwi bayana kulingana na bibla sababu hasa ilikuwa ni nini. Kwa wajuzi, ni...
  17. Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
  18. Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
  19. Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  20. Kwanini Mungu akikuchagua usaidie watu anakupa Roho wa Bwana(holy spirit)?

    Mathayo 12:18 Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Mungu akikuchagua kuhubiri neno lake au kusaidia jamii(nation/world) anakupa roho wa bwana(holy spirit). kazi ya roho wa bwani nin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…