Luka 5:5
Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.
Luka 5:6
Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
Hii inafundisha nini, petro na wenzake walijituma sana...