mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania sijui tulimkosea nini Mungu, kutupa viongozi wenye roho mbaya isiyothamini uhai wa watu?

    Nchi yetu kuna kipindi huwa inapita kama kwenye tanuru la moto, yaani ni kama mfano wa Jehanamu la mateso ya watu Uchaguzi wa 2025, sitausahau mpaka nitakapoingia kaburini na sitawahi kutamka jema lolote juu yao wauwaji hawa Nchi yetu imejipata katika uongozi usiothamin hata uhai wa watu 29...
  2. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

    Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo, akae NAE, mana ashatoa mahali kwao na anafahamika, basi demu kweli kaja wakaanza maisha jamaa yuko...
  3. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kesho Mungu saidia niamke asubuhi sana

    Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mungu haponyi ni juhudi za madaktari na wewe binafsi, lakini je ameshamaliza kuumba?

    Je Mungu alishamaliza kuumba ? Tunatambua Mungu aliumba ulimwengu kwa siku 6 na ya saba akapumzika, sasa je baada ya hapo hakupumzika tena mpaka leo imekuwa tu mwendo wa kuumba viumbe wapya kuanzia binadamu ,wanyama, wadudu ,mimea nk? Au ameset kila kitu kwenye automode kiwe kinajiendesha tu...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ALIEMLETA OKELO MUNGU AMSAMEHE MALOSA YAKE

    aMEN
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sali hizi Zaburi kila saa tisa na dk tano kila siku mojammoja siku 5 utamwona Mungu aliehai akikipignia sema. Mahitaji yako tisa usiku

    hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina 2. ombea anga kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako ombea anga la wanao na la sehemu...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Boni: Imani yetu ni kubwa, Chadema inaenda kuishika nchi, Mungu anaipenda

    Amesema Mzee Emmanuel Zakaria (Baba Boni) Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA jimbo la Arusha Mjini
  10. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Nina Imani Mwenyezi Mungu ameyapokea maombi

    tebt
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku - Gen Z bado hawajakuelewa, wanakuona kama ni Babu unayezeeka vibaya ni Bora ukanyamaza huku ukisubiri siku ya kutwaliwa na MUNGU

    Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
  12. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

    Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza. Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako. Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe. Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ninaapa kwa Jina la Mungu aliye hai, Mahakama ya ICC inatoa Arrest Warrant ya Samia ndani ya mwaka huu. Serikali ijiandae kwa transfer of power

    Hili ninalisema nikiwa na uhakika nalo wa asilimia zaidi ya 100. Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai( ICC) inaenda kutoa Hati ya Kukamatwa kwa Samia na watu kadhaa wa Serikali yake mwaka huu 2026 kwa matukio ya mauaji na kupoteza watu wakati wa uchaguzi na mengine kabla ya Uchaguzi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wawili MUNGU anawaona

    1. CDF 2. IGP
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako?

    Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako ?
  16. A

    JamiiForums Tanzania Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

    Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia, Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo! Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu. Maisha yameniumiza mno.😞 ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Mungu huwa anasingiziwa mengi

    Niwaambie Mungu hakuna kitu anapanga hapa duniani Mungu hapangi watawala wa kisiasa Wala kidini. Dini zote nimeletwa na wanadamu na zinawatumikia wanadamu. Nawaambia hata vifo vyote vinatokana tu na binadamu. Mnamsubiri Mungu endeleeni lakini nnawaambia. Duniania Ni shetani makini na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mamlaka inayotoka kwa Mungu ni Ile inayotenda Haki na kulinda utu wa watu wake

    Ijumaa Kareem! 1. Mara nyingi watu waovu hutumia maandiko kupotosha Jambo Fulani au kuhalalisha uovu Fulani. 2. Sio Kila mamlaka inatoka kwa Mungu. 3. Zipo Mamlaka za kihalifu ambazo chimbuko lake ni Shetani(roho chafu).. 4. Mtu yeyote anayekuambia Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu kaa ukijua...
  20. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Machawa wengi wanaamini katika Mungu lakini cha ajabu haohao wanasherekea mauaji

    Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
Back
Top Bottom