Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia.
Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA.
Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito
Faida zake
Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto?
Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza
Hakuwa baba wa mtoto
Familia iliamua kufanya kipimo maalumu cha 23andMe na matokeo yaliwashangaza zaidi
Baba halali wa...
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi.
Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
Ni kipi kinachosababisha wazazi kuwachukia watoto?
Kuna jirani yangu ana mtoto mdogo, Kama mwaka mmoja na miezi michache, mtoto hupigwa, huteswa, husimangwa yaani ni mateso.
Akiona mama yake anakuja huanza kulia kwa Hofu. Mtoto anakuwa na amani anapokuwa kwa watu baki lakini si kwa mama yake
Meghan, mke wa Prince Harry amefichua kuwa familia ya kifalme Uingereza iligoma kumkabidhi mwanaye haki za kuwa Mwanamfalme (Prince) kwa kile alichotaja kama hofu ya ngozi ya Kiafrika.
“Nikiwa hata bado sijamzaa mwanangu, tayari walikuwa wameanza kusema kwamba itifaki (protocol) hazitaruhusu...
Habarini!
Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni mara chache ameonyesha hali ya kama kutaka kulia hivi.
Wazazi wazoefu na wajuzi, hii ina maana gani?
Wakuu,
Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana.
Je tumsaidieje?
Habari wakuu,
Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma.
Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Nakumbuka tulikutana kwa bahati tu kwa maana nakumbuka ilikua siku ya...
Wadau kuna ligi ya kick boxing inandelea Azam Sports, kwa sasa kila Alhamisi kuna mapambano. Alhamisi iliyopita kuna masta mmoja ambaye wanasema ni mkali wa Kung Fu, Shaolin na Gujuluu aliingia kupambana na kijana mdogo, master akagongwa knock out
Ushauri kwa ma-masta wengine aisee watoto ni...
Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa
Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima.
WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha
Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:-
Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia...
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao...
Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa
Ila nionavyo mimi..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa Sodoma wakasome...
Kuna muvi moja ya xxx naiangalia hapa daaaah!!! Ni...
In late October, Texas mom Trista Hamsmith took her 17-month-old daughter, Reese, to visit a pediatrician after she noticed some irregularities with her breathing. While the doctor suspected a common case of croup, the situation was ultimately, far more serious.
After returning home, assured by...
Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee.
Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
Aliyetupwa katika dangulo la takataka sasa ni milionea - BBC News Swahili
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Freddie Figgers alikejeliwa kama mtoto "aliyenenepeana kwa kula " vyakula vyenye mafuta lakini aligeuka kuwa milionea mbunifu.
Kwa mujibu wa orodha ya hivi karibuni ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.