Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Unastahili matunzo, mapenzi na uangalizi sawa na ya mtoto wako tarajiwa. Huduma hizi zitakusaidia kudhibiti matatizo ya afya unayoweza kuwa nayo na kukukinga dhidi ya kisukari cha ujauzito pamoja na shinikizo la damu la juu. Kadri utakavyokuwa na afya njema ndivyo atakavyokuwa na mwanao.
Usije...
Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu ku-adopt mtoto yatima awe wangu kabisa nimlee, kumsomesha na kumfanyia yote anayostahili kufanyiwa mtoto! Sasa naona nina uwezo na muda wa kuitimiza ndoto yangu!
hivyo naomba kujulishwa sheria na taratibu za kuasili/adopt mtoto hapa Tanzania!
Je, niende wapi...
Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
Takribani kila dakika moja na sekunde 40, mtoto au kijana chini ya umri wa miaka 20 alikuwa anaambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU mwaka jana 2019, na kufanya idadi ya watoto wanaoishi na VVU kufikia milioni 2.8, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema katika ripoti yake...
Ma- dingi wengi siku hizi tunawalea watoto kimayai mayai sana ki- junior junior sana. Matokeo yake mtoto anakosa dira na kujiongoza peke yake huko mbeleni.
Sasa Fanya haya kumuokoa mtoto wako (wa kiume) Dunia imeharibika sasa.. Hakuna wa kukunyooshea mwanao zaidi ya kumtumbukiza shimoni.
1...
Tumeanza kuona matunda ya ugatuzi wa Kenya. Kuna mama kutoka Ethiopia ambaye alishindwa kupata usaidizi wa kufanyiwa upasuaji ili kumtoa mtoto aliyekufia tumboni mwake kwa miaka 13. Katiba mpya ilileta mfumo wa ugatuzi na hii iliiwezesha gatuzi la Mandera kujenga hospitali ya kisasa inayoweza...
Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha.
Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa.
Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba...
Nazani mtaniunga mkono kwa maana;-
Kuna mwaka fulani nikiwa bado KCMC nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi.
Kuna mwanamke mmoja (jina kapuni) nilifanikiwaga kumfanyia operation baada ya kushindwa kuzaa normal basi akazinduka...
Profesa. Laura Padilla kutoka Chuo Kikuu cha Birgham anasema kuwa na Ndugu humlinda Mtoto na hali ya kujihisi upweke, kutopendwa, kutojitambua na kuogopa. Hii haijalishi kama Dada/Kaka wa Mtoto husika ni mkubwa kiumri au mdogo kwake.
Japo Wazazi wengi huhofia Ugomvi unaojitokeza kati ya Watoto...
Kijana mwenye ulemavu wa miguu, Melchedek Lyimo (28), amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi na mama yake mzazi kuteketea kwa moto uliowashwa na mama yake ili kuua siafu.
Tukio hilo ambalo limeacha simanzi na majonzi makubwa katika Kijiji cha Kyou wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro...
Vijana wa zamani kama mnakumbuka miaka ya mwishoni 80. Kulikuwa na mchezo wa kuigiza wa redio RTD kila jumapili usiku yani watu hawakosi ikifika tu saa mbili usiku jumapili watu wameshajikusanya karibu na redio.
Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na kibuku. Mzee Jangala alikuwa maarufu sana na...
Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani.
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
Taasisi ya Kiraia ya JamiiForums pamoja na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia mkataba wa makubaliano wa kupeleka ujumbe sahihi kwa wananchi kuhusiana na watoto wanaoizaliwa kabla ya wakati (njiti).
Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi na Mhasisi wa Doris Mollel Foundation Doris...
Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao.
Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu.
Kwa hakika maneno yanaweza kujenga au kubomoa maisha ya mtoto kwa kiasi kikubwa. Hivyo fahamu maneno 20 ambayo...
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji,
Tukaanza...
Wakati wa uhai wake Jade alibahatika
kupata watoto wawili na mtangazaji wa TV Jeff Brazier. Mtoto wao wa kwanza Bobby Brazier ni mwana mitindo sasa.
Jade alifariki kwa cancer ya uzazi ambayo kwa sasa imepatiwa chanjo kwa wasichana kuanzia miaka 12.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.