Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Wakuu,
Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu katika jamii zetu kuhusu changamoto za malezi, hususan pale mzazi mmoja anapolazimika kuishi na mtoto asiye wake wa kumzaa (mtoto wa kambo). Tukio la hivi karibuni kutoka nchini Uganda limeibua tena simanzi na maswali mazito kuhusu usalama wa watoto...
Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon.
Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
Ninaomba kuwasilisha suala hili zito la ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi unaoendelea hapa Wilayani Kyela ili liweze kuwafikia viongozi wakuu wa TAKUKURU, Jeshi la Polisi, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, pamoja na watetezi wa haki za binadamu...
Kwa mujibu wa #TraceMedia ndugu Khalidi Kalaghe (45), Operator wa Excavator, katika kampuni ya China Energy Engineering Group, aliuguliwa na mwanae. Alikua anamdai boss wake (Mchina) kiasi cha shilingi laki 9. Hakulipwa. Mtoto akafariki. Akaomba ruhusa ya wiki moja kwenda kuzika. Akapewa siku 3...
Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba.
Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
Msikilize huyu mtoto kisha jitafakari, mtoto anatambua ana haki ya kupata huduma bora ya maji safi na salama na si kama hayo yenye rangi kama chai ya rangi.
Anatania kuwa akiwa Rais mambomba yatatoa maziwa na chai ya rangi kama hayo hapo.
Wapambanaji tunapitia Mambo mengi Sana Hasa katika utafutaji, kumbuka gereza Halina mwenyewe.muda wowote unaweza ule unaweza kuwa mahabusu au mfungwa, ngoja niwape kisa kimoja kilichotokea mwaka 2017. Kuna Jamaa yangu alikuwa Ni Askari Polisi huko Kanda ya ziwa, huyu jamaa alipata ajira akiwa...
Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
Anonymous
Thread
chupa
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
miaka
miaka 10
mitaa
mtotomtoto wa
serikali
serikali za mitaa
ukuta
Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza.
Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu
Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
RIP Chivayo.. laiti ungekua hai leo hii Mwanza pasingetosha. Helicopters na private jets zingezagaaa hadi ziwani. Ila matajiri wetu wa Katoro na gari zao za porini wamenyuti kijijini kwao Katoro. Why?
habari wadau.
kwa mazazi mwenye kipato cha kumpa uwezo wa kulipa ada milion 3 kwa mwaka, ila hana hela nyingine ya kuwekeza ujenzi ama kuwekeza kwenye biashara. achague njia ipi ya kumuwekezea mwanae
atumie hiyo hela kulipa ada, ili mwanae asome private schools, mbeleni mtoto aje ajiwekezee...
Eneo ni Kigamboni soweto. Itapendeza kama utakuwa unakaa maeneo ya karibu na kigamboni soweto. Kazi ni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi jioni. .
Awe na upendo na uzoefu wa kulea mtoto.
DM for more info
Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani.
Anakula kwa shida
Analala mahali pana vumbi
Anavaa nguo used aka Mtumba.
Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
Habari wana JF,
Naomba ushauri wenu, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia changamoto zinazofanana au wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na familia.
Ninaishi na mwanamke ambaye tumebahatika kupata mtoto pamoja. Mtoto wetu amezaliwa hivi karibuni. Hata hivyo, kwa sasa familia yangu ipo kwenye...
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.