mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

    https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/ Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali. Pia soma ~ Mtoto wa...
  2. Yoda

    Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

    Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ? Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
  3. Pre International School

    Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  4. nzalendo

    PostGE2025 Yule Mtoto bado anakaa kwa Mwalimu wake

    Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo. Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa. Ndugu zake hawajulikani. Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile. Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu...
  5. O

    Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
  6. Mwizukulu mgikuru

    Nina mashaka hata huyu mtoto Sio wa Kwangu

    Habari zenu wakuu, Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
  7. Pre International School

    Likizo imekaribia usimuache mtoto acheze kila wakati atasahau hadi kuandika jina lake

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani kipindi cha masomo au likizo? 🏡✍️ ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa kwa ajili ya: ✅ Watoto wa Nursery, Primary na Secondary. ✅ Wanafunzi wa International Schools. ✅ Mitaala ya Cambridge, IB, Kenyan, Indian na...
  8. idiomer

    Mtoto akitaka kwenda kusoma nje anapimwa Reading, Listening, Speaking and Writing. ila necta wanapima tuu writing

    Tutafika kweli? Kuna haja ya english language kuwa na speaking, listening and reading Practical test Yaani una division one lakini bado lugha.
  9. MamaSamia2025

    Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake. Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
  10. M

    Mtoto anaeritadi hatakiwi kubaki nyumbani

    Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani. Anatakiwa atafute pakukaa. Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate. Surat Al-Baqarah 2:217 وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ...
  11. Pre International School

    Mtoto wako anatumiaje likizo hiii?

    Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata. ✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto. 📖 TUNAFUNDISHA: 🔹 Watoto wa...
  12. Pre International School

    Mtoto wako anatumiaje Likizo hii?

    Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata. ✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto. 📖 TUNAFUNDISHA: 🔹 Watoto wa...
  13. M

    Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

    Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake. Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati...
  14. wamp

    Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

    Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
  15. Pre International School

    Usijiulize mtoto atabakije kipindi chote hiki cha likizo,sisi tupo hapa kukusaidia

    Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION. ✅ Nursery & Kindergarten ✅ Primary School ✅ Secondary School ✅ Advanced Level ✅ English & Kiswahili ✅ Mathematics & Science...
  16. O

    Polisi Wawili Wakamatwa kwa Tuhuma za Kumnajisi Mtoto wa Miaka Mitatu Meru

    Maafisa wawili wa polisi katika Kaunti ya Meru wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wakishukiwa kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu na nusu katika eneo la Kinjo, Imenti Central. Maafisa hao, Nicholas Njagi na James Mutabari, wanaohudumu katika kituo cha polisi cha Kinjo Police...
  17. Ndagullachrles

    Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  18. D

    Mtoto haambiliki kuhusu kombi ya HGK, nini future ya hii kombi?!!!

    Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C. Dogo ana amani zaidi kwenye...
  19. Alexido jz instagram

    Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

    Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane. Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze. Alimchukua...
  20. Zack Abdul

    Tanzania yatajwa Mfano katika utoaji huduma za Afya ya Mama na Mtoto

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
Back
Top Bottom