Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Habari wana jamvi,
Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
Anonymous
Thread
kero
majirani
mtotomtoto wa
sepetu
sherehe
wema
wema sepetu
Hatari sana leo
Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja
Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo,
Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai
Mimi Raha hizi Jamani
Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki
Acha tule life
Hatari
Habari wakuu.
Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza??
Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote.
BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike.
Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha...
Makonda ni mtoto pendwa maybe kuliko wote ukiondoa Wanu.
Sasa Mtaka si akubali yaishe, atapona Ukuu wake wa mkoa?
Pia soma: Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchagua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja?
Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje?
JE alielawotiwa bikira itarudi?
Watuhumiwa...
Kwa WAZAZI NA WALEZI. Imekuwa ni kawaida kusikia wazazi na walezi wakilalamikia tabia ya watoto wao kukosa heshima. Wengi wanaona watoto wao wana jukumu la kuwaheshimu tu bila kuangalia upande wa pili yaan wajibu wa wazazi.
Natamani kukushirikisha haya ili kesho na kesho kutwa usiwe mzazi...
Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto.
Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na badaye aliolewa na mtumishi mmoja wa serikali
Lakini nilipokutana na huyo binti, kwa rika ni km mdogo...
Single Maza.
Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na ukweli pindi mambo yanapoenda kombo .Niwapambanaji na ufanikiwa kwa kiu ya kuwafurahiaha mama zao lakini...
Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa!
Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners).
Tunafundisha:
✅ Mitaala yote ya shule
✅ Kiswahili
✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano:
🇬🇧...
Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi nyumbani Magomeni Kagera akitoka kumsalimia bibi yake Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Jioni wakati anarudi...
Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi,
Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro?
Haya na wewe uliye...
Makubaliano ya "Nipe Mimba Tu" ni Mtego na Haramu: Inabainishwa kuwa mwanamke akimwambia mwanamume "nipe tu ujauzito kulea nitalea mwenyewe," huo ni mtego na ni haramu kisheria,,. Makubaliano kama hayo yanalinganishwa na biashara haramu (kama ya bangi) ambayo haina uhalali mbele ya sheria tangu...
Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni.
Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao.
Ulijua ni chama kipya.
Wasalaam wataalam,
Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka.
Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp?
NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.