mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi adaiwa kuua mtoto wa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mfanyakazi wa ndani, Ashura Suka kwa tuhuma za kumuua mtoto mdogo wa mwajiri wake. Akizungumza na HabariLEO jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema tukio hilo ni la Agosti 23 mwaka huu saa 10:30 usiku katika Kata ya Iloganzala...
  2. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi tisa kutokwa na matongo tongo kwenye jicho moja

    Dogo antoka matongo tongo kwenye jicho moja. Siku hizi hayaambatani na maji maji ya machozi. Nilimpeleka hospital akapewa dawa flani ya kunywa sasa baada ya wiki hali imerudia. Kuna mwenye uzoefu wa kukutana na hali hii japo atoe maoni yake nini alifanya?
  3. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi mbaroni akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka minne

    Jeshi la polisi nchini Kenya linamshikilia askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne katika kijiji cha Komomange, Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kuria, Cleti Kimaiyo amekaririwa na Citizen TV akieleza kuwa afisa huyo...
  4. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi saba ananyonya kupitiliza

    Habarini wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miezi sita amekua akinyonya kupitiliza, yaani huwa anahakikisha ananyonya mpaka atapikie kwenye chuchu kabisa na ikitokea Je ni kawaida hii wakuu?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kubadili jina la mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa

    Naomba mwenye kujua utaratibu huo anijuze mfano mtoto kwenye cheti ni Paul Kayuguyugu na Mimi ninataka aitwe Paulo Kayuguyugu.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Hali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto nchini Tanzania 2015/16-2019/20

    Taarifa ya Hali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto nchini Tanzania 2015/16-2019/20 na Mheshimiwa Ummy A Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Wadau na Watoa Huduma za Afya, Jijini Dodoma, Tarehe 19 Agosti, 2020 Ndugu Viongozi wa Sekta ya Afya, Mganga Mkuu wa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Disorder of Sex Development (DSD) ugonjwa unasababisha mtoto kutokuwa na jinsia

    Kulingana na daktari wa afya ya uzazi wa wanawake nchini Tanzania Dkt Berno Mwambe, hali hii kwa Kiingereza hufahamika kama Disorder of Sex Development (DSD). Hii ni hali ya viungo vya uzazi kukosa kukomaa. Anasema kuna aina nyingine ya ugonjwa unaojulikana kama Mayer-Rokitansky-Kuster-Hauser...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama amzika mtoto wa siku moja baada ya mumewe kumlaumu kuzaa nje

    Mwanamke mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata mimba nje ya ndoa Mume wa mwanamke huyo amekuwa mbali na mkewe kwa majukumu ya kikazi kwa zaidi ya mwaka, na alishangazwa kusikia mkewe anatarajia kujifungua, alimpigia simu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

    Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kumtoa mtoto IFM na kumpeleka chuo cha mifugo; waungwana mnashauri vipi?

    Habarii! Nimefikiria kufanya hivyo baada ya kuona kuwa elimu ya mambo ya fedha itolewayo na IFM ajira zake ni ngumu sana; yahitajika uwe na wigo mpana wa wakubwa ili kuweza kuajirika. Makapuku sisi tutasubiri sana. kama hiyo haitoshi, inakuwa ni vigumu kwako kujiajiri ikiwa utakosa ajira. Chuo...
  11. waterproof

    JamiiForums Tanzania Je, ulinzi kwa mtoto wako ni muhimu?

    Nini maana ya ulinzi? Watoto wote wana haki ya kulindwa. Kila mtoto ana haki ya kuishi, kuwa salama, kuwa na wazazi/walezi, kusikilizwa, kupata huduma muhimu na kukuwa katika mazingira salama. Familia ndicho chanzo cha ulinzi wa mtoto. Wazazi au walezi wengine wana jukumu la msingi la...
  12. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Huyu dogo, mtoto wa mwanamama Zari swaga zake ni noma

    Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika akija kuwa mtu mzima hamna demu atakayeweza kuchomoa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Jamani wadau nisaidieni mwenye kujua haya mambo, ni umri upi unaoshauriwa kitaalamu kumtahiri mtoto wa kiume, na je kuna njia ngapi za kufanya hiyo kitu. Maana kuna maneno yanasema eti ukimfanyia akiwa bado mdogo kuanzia miaka 0 hadi mmoja eti atakuja kuwa dhaifu katika ile shughuli ya kikubwa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Chuchu bandia ni hatari katika unyonyeshaji watoto kwa sababu hujaza gesi tumboni na kupunguza kiwango cha unyonyaji wa mtoto

    Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatuma Mwasora amesema chupa na chuchu bandia ni hatari kwa afya ya mtoto kutokana na chuchu hizo kujaza gesi tumboni na kupunguza kiwango cha unyonyaji wa mtoto. Fatuma alisema madhara zaidi ya chuchu hizo na chupa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukimwangalia mtoto kwa makini huwa unapata picha gani?

    Kila nikimwangalia mtoto mchanga huwa napata picha fulani ya Kiungu. Ni picha ya ajabu. Mfano, nikimwona mtoto ana mzazi au mlezi wake huwa napenda kuona ana'behave' namna gani. Unaweza kumwona mtoto mchanga amebebwa na mama yake na amelala usingizi na hana habari ya kinachoendelea karibu naye...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya fimbo kwanini wazungu walifanikiwa bila Bakora wakati sisi bila Bakora kuna baadhi ya mambo kwa mtoto hayaendi?

    Binafsi sijawahi kufika Ulaya ila nawafuatilia tu kwenye habari. Hawa jamaa watoto wao kuchapwa fimbo ili wakae kwenye mstari sio kipaumbele kabisa. LAKINI Wanafanya uvumbuzi, wanaongoza dunia, kwa ufupi wanategemea duniani. Yaani Ukiacha Mungu anayefuatia ni mzungu/US japo wote tunaakili sawa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijana ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa mwaka mmoja

    Mfanyakazi wa nyumbani, Magige Thomas (21), mkazi wa Mtaa wa Rebu, Tarime mjini mkoani Mara, amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 5. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya...
  18. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

    Mate, Habari. Kwenye familia zetu kumekua na nadharia inayosema kua watoto ambao ni wa kwanza kuzaliwa hasa watoto wa kiume kwamba hua hawana Akili, ni mapepe,ni watundu na mara nyingi hua hawana mafanikio mazuri kiuchumi (pesa) na kijamii (familia). Ni kweli, Mara nyingi wazaliwa wa kwanza hua...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini? Primary Level au...
  20. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto

    Utafiti wa Kimataifa wa unyonyeshaji uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO) unaonesha kuwa hakuna nchi inayokidhi kikamilifu viwango vya unyonyeshaji vinavyopendekezwa kitaalamu. Viwango vya unyonyeshaji vilivyofanyiwa tathimini katika nchi 194 vimebaini kwamba ni asilimia 40 tu ya watoto...
Back
Top Bottom