Simanzi imeikumba familia moja wilayani Moshi Vijijini baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Francis David, kupoteza maisha kwa kuteketea ndani ya nyumba iliyoshika moto katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki.
Tukio hilo limetokea Mei 26, 2026 majira...