mshahara

  1. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

    Jaza Yellow fields uone tofauti kati ya mshahara wako wa sasa na baada ya mapendekezo kutumika
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Sudan: Omar Bashir alilipwa mshahara wa dola za kimarekani millioni 20 kwa mwezi (zaidi ya Shillingi bilioni 46 za kitanzania)

    Rais wa Sudan Kusini Omar Al-Bashir alikuwa akipokea mshahara wa kila mwezi wa dola milioni 20 sawa na shillingi bilioni 46 za kitanzania kutoka kwa vyanzo visivyojulikana, hii imebainishwa na kamati ya kupambana na ufisadi ya nchi hiyo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Kupambana na Rushwa na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa miradi ya RUWASA

    Waungwana naomba nifahamu mshahara wa msimamizi wa jumuiya miradai ya usambazaji wa maji vijijini RUWASA.
  4. benja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Senior Planning Officer Tanzania Ports Authority (TPA)

    Naomba kufahamu Mshahara wa Senior Planning Officer II wa Tanzania Ports Authority ni Tsh Ngapi? Naomba kufahamu na Salary Scale ya nafasi hiyo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Covid-19:Chuo kikuu kimoja chawapa watumishi wake likizo na kutangaza kuanza kuwalipa nusu mshahara

    Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo. Vile vile, kwa...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Covid-19: Chuo kikuu RUCU kulipa nusu mshahara na wafanyakazi wote kwenda likizo

  7. Mwalimu kp

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Habari zenu Wakuu, Jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja. Kuwa mshahara was mwezi April, mwaka 2020 umeshatoka. Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank Je, kuna ukweli au uhakika wa taarifa hii? Kama ni ya kweli, kongole kwa Rais Magufuli!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

    Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza. Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

    Rais wangu salamu kwako. Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako. Swali ninalokuuliza: Je, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine? Nimeuliza swali hilo kwakuwa bila ya kuhadaa wala kubwabwaja umenifanya mimi pamoja na Watanzania...
  10. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

    Habari ndugu, Najikita moja kwa moja kwenye swali, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HESLB (board)?
  11. E

    JamiiForums Tanzania MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

    Hivi Mshahara wa Tutorial assistant wa part time kwa vyuo vya public huwa ni shillings ngapi ?
  12. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona. ''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa. Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28. Rais pia ametangaza hatua...
  13. Masanjaone

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi March upo tayari

    Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula. Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tarehe 17 imekaa kushoto.
  14. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Jamaa hachukui mshahara lakini anaichuna nchi kisawasawa

    https://www.theatlantic.com/ideas/archive/2020/02/why-does-billionaire-charge-secret-service-650-night/606253/?utm_campaign=the-atlantic&utm_medium=social&utm_source=facebook&fbclid=IwAR3y_iyU3RnN2EFxwCwKcyEf9G4_tGJNo1u7cSjbUpfEEJCVZVE3mMdOAbY
  16. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

    Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?

    Jana nilimsoma pahala humu JF mkuu Douglas Sallu akiwa ametoa tangazo la benki fulani likiwataja kwa majina na picha wadaiwa sugu wa benki hiyo. Miongoni mwa wadaiwa hao yumo Dr. Mashinji. Dr. Slaa alipoondoka Chadema naye alikuwa na deni na nyumba yake kule mbweni almanusura ipigwe mnada sema...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

    Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mghwira aagiza Mkurugenzi Mwanga asilipwe mshahara kwa kushindwa kujibu swali

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Zefrin Lubuva asilipwe mshahara wa Februari hadi atakapojirekebisha. Hatua hiyo imekuja baada ya Mghwira kukasirishwa na kitendo cha mkurugenzi huyo kushindwa kujibu maswali aliyomuuliza kwanini...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
Back
Top Bottom