mshahara

  1. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna risiti za mshahara wa Septemba kwenye ESS

    Mfumo wa ESS hautoi risiti za mishahara ya Septemba 2026, Mbona hakuna maelezo??
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba wataalumu wa mionzi tuongezewe mshahara kwa ngazi ya diploma atleast iwe 1.4M

    Wataalumu wa mionzi wanahatarisha maisha yao sana ukilinganisha na madaktari au manurse mionzi ni hatari kwa afya inaweza kusababisha saratani na mazingira magumu ya kazi unaweza kupangiwa kituo cha kazi unakuta hakuna control room wala lead wall hatari inakuwa kubwa. Dosimeter zenyewe mbovu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha tumepitisha miezi miwili bila kulipwa mshahara

    Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu! Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
  6. mpinzani

    JamiiForums Tanzania Tupac na Biggie hawakuuawa kwa sababu walichukiana. Walitolewa mhanga kwa sababu 'Mfu' hahitaji mshahara, halipwi mirahaba, na hadai hesabu za fedha.

    Nadharia ya Kijasusi: Nyuma ya Vifo vya Tupac na Biggie; Je, Kulikuwa na ‘Wall Street’, Polisi Mafisadi na Biashara ya Bima ya Maisha? Wakuu, salamu. Kwa miongo mitatu, ulimwengu unalishwa hadithi ya uongo—kwamba marapa hawa walikufa kwa sababu ya bifu la mitaani la East Coast na West Coast...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Traffic wa Ulanga Mna njaa sana! Sema mmenikuta Tarehe za Mshahara, Money Talks!

    Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu. Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa dhambi ni Mauti!

    Mungu akiombwa uende Mbinguni[Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi], Alah "miungu" ampunguzie adhabu ya kaburi, hivi huwa anasikia na anafuata matakwa yenu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Malimbikizo ya mshahara

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, nadai malimbikizo ya mshahara wa 2024 na nikishajaza form nikaambiwa imetumwa hazina lakini ni mwaka wa pili Toka niambiwe hivo mpaka Leo sijalipwa, hii inamaanisha Nini?
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Mkataba Temeke hatujalipwa mshahara ya mwezi Agosti hadi sasa

    Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka. Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu...
  11. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha nyinyi ma faithfool kesho ni siku ya kutapeliwa, na mshapokea mshahara

    Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viwango vya mishahara sekta binafsi haviendani na viwango vilivopangwa na Serikali hasa kada ya watunza kumbu kumbu

    Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba. Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  16. K

    JamiiForums Tanzania TPCSS 1 ni kiwango gani cha mshahara?

    .
  17. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya magari yana mshahara mbaya wasiotuambia

    Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk ...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa... maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nyie mmepata mshahara wa mwezi huu wa saba?

    Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
  19. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Je, mshahara wako unaendana na gharama za maisha za sasa? Simenti nayo yapaa bei

    Watanzania wanapaswa kujiandaa kwa bei ya juu ya saruji baada ya wazalishaji wakuu kutangaza nyongeza mpya ya bei, hatua inayotarajiwa kusukuma gharama ya rejareja ya mfuko wa kilo 50 zaidi ya Sh18,000 katika baadhi ya masoko. Marekebisho hayo, yanayoanzia Sh500 hadi Sh650 kwa kila mfuko kabla...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
Back
Top Bottom