mshahara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tujadili mshahara wa TGS D kwa watumishi wanaoishi kwenye majiji

    TGS D ni kiwango cha mshahara kwa mtumishi mwenye shahada ya kwanza anaefanya kazi Serikali Kuu na Serikali za Mitaa (halmashauri). Baada ya makato ya PAYE, NHIF na TUCTA kiasi kinachobaki ni around Tshs. 540,000/-. Hapo sijaweka makato ya HESLB. Sasa hapa tuijadili hii 540,000 inayobaki. Je...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya Wilaya ya Mbinga hatujapata mishahara, Waziri Jafo tuaomba ushughulikie hili

    Waalimu walioanza kazi mwezi wa 12 mwaka jana wilaya ya mbinga hatujapatamshahara, ukiwauliza wahusika wanakuambia hawajatuma majina yetu mwezi uliopita tulipewa lakini haikubainika wazi kama ilikuwa ni pesa ya kujikimu au mshahara, tunaomba mamlaka zinazohusika ziweze kufuatilia kwani hali ni...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara inakuja. CHADEMA msidandie gari kwa mbele

    Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa. Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini inasemwa kuwa mshahara wa mtu ni siri?

    Wakuu kwa nini inasemwa hivyo? Hii ni duniani kote au hapa kwetu tu?
  5. Kantalandwa

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuwa approved na approver ili kupata check number na kuanza kupata mshahara endapo taarifa zako zimeisha tumwa

    Habari wataalamu wa mambo! Inachukua muda gani kuwa approved na approver ili kupata check number na kuanza kupata mshahara endapo taarifa zako zimeisha tumwa. Asante
  6. N

    JamiiForums Tanzania Desabre kujiunga Simba, wanavutana kuhusu mshahara

    Ni kocha wa zamani wa team ya taifa ya Uganda na pyramids ya misri anataka dollar 22,000 kwa mwezi Simba walitaka wampe 13,000, bado wanajadiliana.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sijalipwa mshahara miezi 8 na mkataba sipewi napewa posho tu msaada jamani wapi nipeleke malalamiko?

    Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa 6 wakiwa na mshahara ule ule uliopanda kwa mara ya mwisho mwezi July, 2015

    Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha. Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni watanzania wenzetu, wanaturudisha kule kule tulikotoka sio tu kwa kutoa mishahara inayoendana na gharama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kulipwa mshahara wa Ubunge huku ukiwa huna sifa kikatiba ya kuwa Mbunge siyo uhujumu uchumi?

    Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba? Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa...
  10. Davey15

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

    Kama kichwa cha thread kilivyo wadau. Je, mshahara wa mtu mwenye diploma ya IT ni TGS ngap? Msaada wanajamvi. Naomba kuwasilisha.
  11. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

    Maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia. Turudi kwenye mada wakuu, unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja. Anakujibu vizuri tu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Bodi gani inaweza kumpangia mtumishi wa umma mshahara mkubwa kuliko wa Rais?

    Kwa mujibu wa Rais Magufuli ni kwamba kuna watumishi wengi tu wamemzidi mshahara. Sasa nauliza tu. Je, ni bodi ipi ina ujasiri na mamlaka ya kuipima kazi ya mkurugenzi fulani ni kubwa, ya thamani na ni ngumu kuliko ya Rais? Je, mshahara wa Rais Tanzania hupangwa na Rais mwenyewe aliye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika mabinti katika kampuni ya usafi mshahara Sh.150,000

    Habari! Nahitaji mabinti wa kazi ktk kampuni ya usafi (Kaani Dry Cleaners)iliyopo Dar es salaam, mshahara wa kuanzia ni Sh.150000 kwa mwezi. Umri usizidi miaka 35 pia kwa wale wenye vyeti vya food production (Certificate)and house keeping watakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchukuliwa. Maombi...
  14. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uchawi au Uganga unaweza kufanya ukaongezwa mshahara au kupandishwa cheo kazini?

    Habari, Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara...
  15. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini tozo kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara? (1) Kwanini dereva wa gari iliyofanya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

    Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015. Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
  18. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyetunyima ajira nasi tumnyime ajira, aliyetutumbua nasi tumtumbue, aliyekataa kongeza mshahara nasi tusimwongezee

    Ndugu zangu, bado wiki moja tu ya kufanya maamzi sahihi kwa yule aliyekuwa anatuona watu wa kawaida. Kimsingi sisi ni watu wa juu na tutabakia juu kileleni. - Alitutumbua nasi twendeni tumtumbue - Alitunyima ajira nasi twendeni tumnyime ajira - Alikataa kutuongezea mishahara nasi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zitaweza ushindani wa Afrika? Al Ahly imemuajiri kocha wa Mamelodi, Mosimane kwa mshahara wa Dola za Kimarekani 120,000 kwa mwezi

    habari wapenda soka, jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa mwenyeji. na al ahly alikuwa ugenini.. mechi iliisha kwa al ahly kushinda goli 2-0 ugenini katika...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuacha kuongeza mshahara ni kosa kubwa

    Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi...
Back
Top Bottom