mshahara

  1. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi NEC walimuita Magufuli na Kumhoji juu ya kauli ya "Mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari halafu umtangaze mpinzani!!"

    NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
  2. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  3. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Magufuli, ningetangaza Machifu na Watemi wanaojulikana waanze kulipwa mshahara wa Tsh.laki nne kila mwezi

    Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara. Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
  4. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

    Habari JF. Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
  5. T

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Hii ndio nyongeza ya mshahara kwa walimu 2015-2020

    Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti. Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja, nimefatilia nikabahatika kupata hati za mishahara kwa walimu watatu; mmoja wa cheti s/msingi na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM inadandia hoja nzito za upinzani, alianza Kikwete mwaka 2010 na kima cha chini cha mshahara. Huenda hawajui hata kuandaa ilani yao!

    Kwa mantiki hii ipo sasa haja ya moja kwa moja kuipumzisha CCM, kwanini? Kama mtakumbuka kuwa, mwaka 2010 Rais mstasfu Jakaya Kikwete alikuwa na mgogoro mkubwa sana na Katibu mkuu wa TUCTA wa wakati huo Nicholas Mgaya. Mgogoro huo ni kuwa bwana Mgaya alikuwa anashinikiza wafanyakazi kima chao...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hatuendi kumchagua mtu kwa aliyoyafanya, tunaenda kusikiliza mtu atafanya nini kisha tuchague, aliyoyafanya tulishamlipa mshahara. Tunaajiri upya

    Upo msemo eti aliyofanya yanaonekana kwa macho. Hatuendi kuchagua mtu kwa aliyofanya, aliyofanya hakufanya bure wala hakutoa hela yake mfukoni kuyafanya. Na tulishamlipa mshahara kwa aliyofanya. Tunaenda kusikiliza mtu atatufanyia nini ndipo tuajiri. Hii ni ajira na tunaangalia mbele huku...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba turuhusiwe kumuongezea mshahara Larryy Bwalya

    Sijui analipwa bei gani kwa mwezi huyu mwamba. Najua sisi mashabiki kumuongezea mshahara ni suala gumu kulitekeleza. Ila acha tutumie kama kivumishi cha kumpa anachodtahili huyu box to box locomotive magician maestro midfilder. Akituma pasi anatuma na pasi ya kutolea Raha kumtazama unatamani...
  9. 7 ELEVEN

    JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali iwalipe mshahara watumishi waliotia nia Ubunge

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli; Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo. Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao. Imagine wewe ndio mwenyekiti wa chama cha siasa taifa unakuja kumuomba kura mwalimu ambae...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  12. Maseto

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Halmashauri ya Jiji la Dodoma la watumishi wengi kulipwa mshahara bila kufanya kazi

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi. Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa B. Morrison utakavyoisambaratisha Simba Sc na wachezaji wake

    Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wazee vipi mshahara, nataka nicheze kamari ukitoka

    Mnijuze ukitoka, na Mimi mwenyewe nacheki mdogomdogo kwa njia ya sim banking hapa. Hapo mia naitupia play master nacheza online slots nikipata faida mia mbili itakuwa mia tatu. Nagawa kwa walionipiga vizinga. Inayobaki ni yangu kwaajili ya home
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

    Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa. Tiririkeni wadau. Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
  16. A

    JamiiForums Tanzania Serikali italipa lini malimbizo ya mshahara?

    Naiuliza tu hii Serikali italipa lini malimbikizo ya mishahara ya walimu? Kuna awamu mbili ya madai ya malimbikizo ya mishahara ya walimu,kuna waliopanda daraja 2018 na 2019 hatujalipwa hadi leo hii. Kwa upande wangu ninadai shilingi laki nane. Kiasi hicho cha pesa kwa kada yangu hii ya uwalimu...
  17. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbunge asijitolee diwani akalipwa mshahara? Kama chakula kidogo anaachiwa mdogo

    Hivi ni kigezo gani kilitumika kuamua Mbunge alipwe maslahi ya uhakika halafu diwani afanye kazi kwa kujitolea? Kama hoja ni kwamba uwezo ni mdogo 'chakula', kwa mila za kitanzania chakula kikiwa kidogo, wakubwa huachia wadogo. Sasa mbona kama kwenye hili liko kinyume nyume? Kama hoja ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitumbuliwa ajira yako inakoma na mshahara unakoma hapohapo?

    Swali: Hivi ukitumbuliwa mshahara unakoma hapo hapo? Kama huyu aliyetumbuliwa leo hapati mshahara tena?
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Iwapo CCM itarudi madarakani, watumishi wa umma kukaa miaka sita na mshahara ule ule wa tangu Julai, 2015

    Kwa upande wa Watumshi wa Umma,Bajeti hii iliopita jana inamanisha jambo moja kubwa sana kwao nalo ni kubaki na mshahara ule ule wa tangu mwaka wa fedha wa 2015/2016 ulioanza July, 2015 na mshahara huo wataenda nao mpaka mwaka wa fedha wa 2021/2022(July 2021) hapa ikamanisha watakaa kwa kipindi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Dkt. Kigwangalla anagawa baiskeli kama karanga, wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mshahara miezi miwili sasa!

    Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura. Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt...
Back
Top Bottom