moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

    Habarini, Tujitafakari,kama moto uligunduliwa hapa duniani na mtu je huko mbinguni nani aliupeleka?
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Peleka moto, Wapelekee moto mpaka milio wameanza kutoa 🤣

    Wamepelekewa moto kidogo tuu Milio mingiiiii 🤣🤣🤣 Na washukuru wamevunja katiba kuzuia mikutano ya siasa kupitia wizara ya mambo ya ndani
  3. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Masoko ya utabiri/betting yamekuwa na faida ya mabilioni ya dola, yemefikia mpaka kutabiri majanga ya asili kama moto wa nyika

    Yanafanyaje kazi? Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye. Mfano: Matokeo ya mechi za mpira Matokeo ya uchaguzi Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki Shida ilipo sasa: Mabadiliko ya Tabianchi Baadhi ya masoko haya sasa yanaruhusu watu kubeti pia kwenye: Moto wa...
  5. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mistari 20 ya biblia ambayo ufalme wa giza hawaipendi kutokana na kubeba nguvu kubwa ya moto mkali unaounguza na kuharibu kazi zote za giza,shetani

    Zaburi hizi 1)zaburi ya 23 (wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17) 2)zaburi ya 27 3)zaburi ya 64 4)zaburi ya 91 5)zaburi 112 (wagalatia 3:29,mithali 3:29) 6)zaburi ya kwanza 1 .(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19) 7)zaburi 30
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya moto kuhusu makao makuu ya IRGC nchini Iran

  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta Lake Oil chateketea kwa moto Geita

    https://www.facebook.com/share/v/19DSDGvKwW/ Chanzo cha moto👇 https://www.instagram.com/reel/DanG7CasUE4/?igsh=MWVqYWtsbDN1cnc2bw==
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania muslims, wanaichoma moto Parisi, leo, so sad!

    haijalishi nani atashinda. ila loser kama vile masoko yetu yalivyochomwa, muslims immigtrants wanaenda kuichoma Paris leo, itawaka moto leo, God bless and protect beautiful city of Paris ... https://twitter.com/i/status/2075235801638564280
  9. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi viakaunti vingi vimejoin may na june vya moto kweli🔥🔥

    Vina post kila ya dakika wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani😁😁
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa SUMMAA JKT Kufungua MADUKA ya kuuza SILAHA ZA MOTO NCHINI

    Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi na utegemezi wa Middlemen wapiga deal ambapo Majeshi yetu yote nchini yatanunua Silaha hizo kutoka...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanganyika litarudi likiwa imara zaidi baada ya kupitishwa kwenye tanuru la moto.

    Taifa la Tanganyika limejifunza mengi baada ya kifo cha Hayati Rais John Magufuli na kupelekwa utumwani, yaliyotokea oktoba 29 yamerudisha kumbukumbu za Watanganyika.
  13. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

    Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuchoma moto chumba na kusababisha kifo cha mabinti wawili kisa aliachwa na mmoja wapo

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na Felister Peter katika Mtaa wa Kikuyu, Juni 7, 2026. Polisi wamesema mtuhumiwa alikamatwa katika...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye saklata la Yuda, tuchochee moto kwenye Muungano

    Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
  17. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Kuisikia sauti ya Mungu kupitia ishara ya moto

    Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto , Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema, Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi. Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje Lakini kwangu Mimi huwa hivi . 1. Nikiwa natafakari...
  18. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wakina junior ndo walowasha moto na kuua wenzao 16

    Huruma sio malezi Wazazi waleeeni watoto wenu sio kuwafuga https://www.facebook.com/share/v/1EEQDfWSX5/
  19. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

    Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka. Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
Back
Top Bottom