moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Huko mazoezini ni moto wa kuotea mbali

    Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick), Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili ambazo Barcelona wamecheza, Barcelona wamekusanya alama 6 na kufunga mabao 7 lakini Yamal bado...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TikTok live (Dukuduku) ya Pipy Tida chazidi kupamba moto na kuibua maswali juu ya ulinzi wa taarifa binafsi

    Kipindi cha Dukuduku kinachoendeshwa kupitia TikTok na mtayarishaji wa maudhui Pipy Tida kimeendelea kuvuta hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna kinavyogusa maisha ya kawaida na masuala yanayowakabili watu katika jamii. Kupitia kipindi hicho, Pipy Tida huibua mada...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NENO PELEKA MOTO

    Kwanini neno peleka moto limegain popularity? Naomba majibu wadau.
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Swala la Nchimbi limeongeza moto kwenye mageuzi. Sasa sio CHADEMA tu wanaogombana na Samia

    Kung'atuka kwa Nchimbi ni taswira ya mashindano na mapambano ya mageuzi ndani ya CCM, ambapo ni dhahiri wananchi na CHADEMA wanaungwa mkono na kundi la vigogo ndani ya CCM wenye kiu ya mabadiliko ya kweli. Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:- Katiba itokanayo na maoni na utashi wa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diva amuwashia moto mwanadada model MALU

    MALU wanaokupa Matangazo Wanakudhalilisha asilimia 100. Tangazo Lako Jipya nina hakika Basata Wameliona na watalifanyia Kazi .. Kuna Ile sehemu anapanda ngazi kutoka katika swimming POOL hapana jaman hapanaaaaa hadi huruma!, Mama @gwajimad haya maadili yanavunjwa sana imetosha this is too Much...
  7. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili achoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Jeshi la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tiba au Ushauri kwa Mtu Mwenye Makovu Yanayowasha, Kuuma na Kuwaka Moto Baada ya Jeraha

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi. Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna moto kwa watakokuwa na makosa baada ya kufa, hawa wanaochomwa au kufanyiwa cremation, watachomwa nini mbali na wanaozikwa miili kuoza?

    Swali hapo juu lipo wazi Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa: Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa, Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza. Kama hli ndiyo hii, huu moto tunaotishwa nao na dini nyemelezi na za kikoloni za kigeni zilizotugeuza mataahira na mazwazwa, huu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

    14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

    Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa. Hata...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Polisi zateketea kwa moto Tanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la moto lililotokea Julai 29, 2026 majira ya saa 7:35 mchana katika nyumba za Polisi Msambweni zilizopo eneo la Mapinduzi “A”, Kata ya Ngamiani Kusini, Wilaya ya Tanga. Moto huo umeteketeza baadhi ya mali zilizokuwa ndani ya nyumba...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nyumba za polisi zateketea kwa moto Tanga

    Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga. Moto huo umeteketeza baadhi ya mali mbalimbali zilizokuwa ndani ya nyumba hizo, huku thamani ya mali zilizoharibiwa ikiwa...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania HOJA Muda wa kujiunga na Mfumo wa Ukaguzi vyombo vya moto (MIMIS) uongezwe, badala ya Julai 31, 2026

    Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

    Habarini, Tujitafakari,kama moto uligunduliwa hapa duniani na mtu je huko mbinguni nani aliupeleka?
Back
Top Bottom