moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Taifa yawahishwa 2026: Zima Moto wamekalia wa Chuya!

    Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa...
  2. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2018 LAND CRUISER LC200 YA MOTO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 190M Call📞+255 (0) 747 999 927 LAND CRUISER LC200 ZX Year: 2018 Engine: 1UR-FE Mileage: 42,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC ✨Sunroof ✨Fog Lights ✨Cruise Control ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  3. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2026 LAND CRUISER LC300 ZX YA MOTO SANA IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 450M Call📞+255 (0) 747 999 927 LAND CRUISER LC300 ZX Year: 2026 Mileage: 0 KM Engine: 3,445Cc Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC ✨Digital Dashboard ✨Active Brake Assist ✨Intelligent Drive Mode ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

    Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi. Tukio hilo la...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Boda hapa angegongwa mngechoma moto?

    Hivi nyie boda road mnapachukukuaje? Mnajiendea tu, hana safety yoyote mmevaa hapo. Ukitizama hii video hata mstari wa kuovertake hauruhusu. Unatoka nyumbani salama unaenda kukatishwa uhai na mzembe mmoja.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata...
  7. Anti-tozo

    JamiiForums Tanzania Kataa utekaji Tanganyika imepamba moto.

    Wakija kukuchukua watu hawaeleweki wewe washirikishe maraia tuu utapata msaada 😋😋😋😋😋 Dodoma wameweza bhana.
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Masoko kuungua moto ni mipango mibovu za kulaghai vijana

    Vijana ni waelewa sana, maana ni walewale walioambiwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni, huu ni moto na haya ni maji wakatii hadi leo kuwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni na pale ni chumba cha baba na mama tusiingie bila kubisha hodi. Vijana hawahawa kama kungekuwa na viongozi ambao wangewaambia...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa wateketeza soko la machinga Dodoma

    Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wamesema walianza kuona moshi kabla ya moto...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Wanaukumbi. LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌 INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka alipojikuta ana kesi ya kujibu.. Lissu, alianza kuidogosha hii kesi yake na kujifanya ni kesi nyepesi na...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Nimecheki statistics namba zinaongea.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wananchi wateketeza kwa moto shamba la mwekezaji wakitafuta panya kwa ajili ya kitoweo!

    Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema moto huo umesababishwa na wananchi walioukuwa wakitafuta kitoweo cha Panya...
  13. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2021 Toyota Rav4 z-package ya moto sana iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 85M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Z-PACKAGE Year: 2021 Engine: 1,990Cc Mileage: 70,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO ✨Digital Dashboard ✨360 Degree Camera ✨Drive Modes Selector ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

    Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri 1. Kutambua dhima ya social media Tambueni ya...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magari Yageuka Majivu Kilimani: Moto wa Saa Nne, Chanzo Hakijulikani

    Moto mkubwa ulizuka usiku wa Septemba 7 katika gereji iliyoko Ole Dume Road, Kilimani, Nairobi, na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali. Magari kadhaa yaliyokuwa yameegeshwa katika eneo hilo yaliteketea, huku baadhi yakiharibika kiasi cha kutoweza kurekebishwa tena. Vifaa mbalimbali vilivyokuwa...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybercab imeanza kufanya kazi rasmi baadhi ya majimbo USA. Sema Bei kwa route ni ya moto na demand kubwa sana!

    Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy. Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi) Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  18. TANAPA

    JamiiForums Tanzania DKT. KIJAJI: MOTO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO WADHIBITIWA KWA ASILIMIA 90

    Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo. Akizungumza baada...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Pesa za moto

    Hizo ziko Africa pekee aise. kwingine kote lazima ule kwa jasho na kutumia akili. Sikatai kwamba kuna dirty money. Mshana Jr
Back
Top Bottom