moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakazi jimbo la California watakiwa kuhama makazi yao kutokana na moto unaoendelea kuwaka

    Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa. Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania je, ufaham namna sahihi ya kuzima gesi inaposhika moto?

    Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali. Je, unajua namna salama ya kuzima moto unaosababishwa na gesi ya kupikia wakati wa dharura?
  3. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2020 Mercedes benz a180 ya moto iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 80M Call📞+255 747 999 927 MERCEDES BENZ A180 Year: 2020 Engine: 1,330Cc Mileage: 31,000+ Transmission: AUTOMATIC 💫Sport Rims 💫Paddle Shifters 💫LED Headlights ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  4. I

    JamiiForums Tanzania Iran kwazidi kuwaka moto wakati uchumi ukizidi kuporomoka zaidi.

    Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka. Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2015 BMW X3 YA MOTO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 48M Call📞+255 747 999 927 BMW X3 xDRIVE Year: 2015 Engine: 2.0L Mileage: 141K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTOMATIC 💫Tronic Gear 💫Leather Seats 💫LED Headlights ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uwanjani: Hongera Zimamoto kwa Utayari, Lakini Tuna Neno Moja Kuhusu Mitaa Yetu ya Uswahilini! 🤔

    Niko hapa uwanjani naangalia mpira wa Simba SC dhidi ya Mashujaa FC. Kitu kilichonifurahisha na kunivutia ni kuona gari la Zimamoto lipo 'active' hapa uwanjani, vimulimuli vinawaka na makamanda wapo standby kabisa kwa dharura yoyote. Hongereni sana Zimamoto kwa utayari huu! 👏👏 Hata hivyo...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto Wanne Wachomwa kwa Maji ya Moto Kanisani Bondo Katika Ibada ya Kutoa Pepo

    Viongozi watatu wa kanisa la St. Abraham Israel Assemblies of God eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya, wameachiliwa kwa dhamana baada ya kufikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka yanayohusiana na tukio la watoto wanne kuungua wakati wa ibada inayodaiwa kulenga kuwatoa pepo. Washukiwa hao...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  10. JamiiForums Tanzania Jaguar Wamezindua rasmi Jaguar Type 01 GT ya Umeme. Very Luxury ila Expensive!

    Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP. Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD. Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h. Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

    Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2019 PRADO J150 YA MOTO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 134M Call📞+255 (0) 747 999 927 LAND CRUISER PRADO TX Year: 2019 Engine: 2,790Cc Mileage: 93,000+ Transmission: AUTO 💫Sport Rims 💫Push To Start 💫Android Radio ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost NB📌Fuel Used⛽👉🏾DIESEL
  13. JamiiForums Tanzania Car4Sale VOLKSWAGEN UP YA MOTO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 16.5M Call📞+255 747 999 927 VOLKSWAGEN UP Year: 2013 Engine: 999Cc Mileage: 80,000+ Transmission: AUTOMATIC ✨Airbags ✨Sport Rims ✨Am/Fm Radio ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2023 TOYOTA HILUX GR-SPORT YA MOTO MNO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 155M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA HILUX GR-SPORT Year: 2023 Engine: 2.4L Mileage: 33K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTOMATIC ✨Sport Rims ✨Cruise Control ✨LED Headlights ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  16. JamiiForums Tanzania Ameanza kukata moto: Haki huinua taifa

    Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto. Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake...
  17. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, lakini Samia yupo zake Kizimkazi anaongelea

    Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe. Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea. Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho. Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho...
  18. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2013 LAND ROVER DISCOVERY 04 YA MOTO SANA IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 69.9M Call📞+255 747 999 927 LAND ROVER DISCOVERY 04 Year: 2013 Engine: SDV6 Mileage: 53,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTOMATIC ✨Fog Lights ✨Sport Rims ✨Height Control ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  19. JamiiForums Tanzania Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  20. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…