mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  2. Jannatul Firdaus

    Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  3. Financial Analyst

    FINALLY FRIDAY🎊: unaipokeaje hii weekend mkuu? Salama? Kwema?

    Yeah maisha magumu Kila kona gharama zimekuwa ngumu All in all, isikunyime nafasi ya kujinafasi. Utaibukia beach? Movies? Plaza? Pub? Club? Home na familia? ENJOY YOUR WEEKEND.
  4. Wakusoma 12

    Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  5. MSUKUMA02

    Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  6. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria." "Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo,"...
  7. Jannatul Firdaus

    Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
  8. K

    Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

    Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
  9. A

    KERO Kumekuwa na changamoto kubwa kwa Wazalishaji wa mbegu wa ndani, na hivyo wengi kuagiza kutoka nje

    Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania. Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo? Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
  10. Waufukweni

    Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
  11. Tlaatlaah

    Hakainde Hichilema atashinda uchaguzi mkuu wa Zambia na hapatakua na Re-Run elections.

    Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia. Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa...
  12. Tlaatlaah

    Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  13. kavulata

    Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  14. Dalton Elijah

    POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  15. E

    Ni Hichilema vs. Mundubile uchaguzi mkuu Zambia

    Leo ni Agosti 13, 2026, raia wa Zambia wanapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotazamwa kwa karibu sana. Huu ni uchaguzi muhimu unaojaribu ahadi za mageuzi ya kiuchumi dhidi ya hali ngumu ya kimaisha inayoikabili nchi hiyo. Soma zaidi: Mchuano Mkali Zambia: Je, Hichilema atatoboa tena au Upinzani...
  16. H

    Nukuu za Waziri Mkuu katika Sekta ya Afya

    Nukuu za Waziri Mkuu katika Sekta ya Afya
  17. idiomer

    Mkuu wa wilaya Mvomero hana uchungu wa mali na maisha ya wananchi

    Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa? Who are you? Maulidi Dotto? Sipendi kuona mwananchi wa wakawaida wakionewa basi tuu
  18. R

    Iran yatumia video ya zamani ya Kiongoozi Mkuu Mojtaba Khamenei kuaminisha umma yuko hai

    Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel. Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa...
  19. Parabolic

    Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

    Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP), Amini Mahamba. Kesi hiyo inasikilizwa na majaji watatu, wakiongozwa na Jaji Dastan...
  20. Nguva Jike

    Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
Back
Top Bottom