Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
Anonymous
Thread
dar
historia
kigamboni
kigamboni dar
maadili
mkuu
mwalimu
mwalimu mkuu
shule
wazazi
Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano?
Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani.
Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.
Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.
Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia...
Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali
Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure!
Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign...
Wana-JF,
Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali chini ya Mradi wa TACTIC kuzingatia viwango vya ubora vilivyoainishwa katika...
Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali.
Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama.
Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii.
Mfano...
Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi.
Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu,
Wanataka...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele...
Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo.
Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu.
Kitendo cha kutuambia utekaji na mauwaji ni maigizo ina maana mpaka mlipo jiweka mshatuona nguchiro...
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga
Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja
Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo
Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii.
“Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza
Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu
Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?
Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto
Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki
Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba
Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi
Mpina amekuaje siku hizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.