mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  2. H

    Nane nane njema kutoka kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa. Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
  3. O

    Mahakama yaamua Uchaguzi Mkuu Kenya unapaswa kufanyika Agosti 11, 2026, hata hivyo utekelezaji wake wasitishwa

    Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji alisema kufanya uchaguzi...
  4. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  5. Roving Journalist

    Mkutano wa Wanahabari Kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Afrika50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, 2/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=hCEd0tdpyNQ
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Iwapo Salum Mwalimu angeshinda urais basi Kigaila angekuwa Waziri mkuu wetu!

    Mazungumzo yote yapo kwenye page ya Chief Odemba Facebook. Kwa kifupi sana hii nchi raia tunaonwa kama matako Yao tu kama ni hivi asee
  7. Roving Journalist

    Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu ya “Miaka kumi ya mafanikio kutoka maono hadi utekelezaji - A Decade of Economic Impact: From...
  8. M

    Mwaliko mkuu

    1.Jeshi la Wananchi: Mlindeni Heche. 2. Jeshi la Polisi: Mlindeni Heche. 3. TISS: Mlindeni Heche. 4. Dini zote Tanzania: Mlindeni Heche. 5. Makabila yote Tanzania: Mlindeni Heche. 6. Wanasayansi wote: Mlindeni Heche. 7. Watanzania wote wa Dini na vyama vyote: Mlindeni Heche. Aaaaaamiiiina.
  9. I

    Huu ndo uwe Msingi mkuu wa Maridhiano

    Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano 1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi (Baraza la Mawaziri Zambia) atembelea Banda la Tanzania

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI na MZRH
  11. Echolima1

    Hatujawahi kuwa na mkutano mzuri kama huu na Trump-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema kwamba mkutano aliofanya na Rais wa Marekani Donald Trump ulikuwa mmoja wa mikutano bora zaidi ambayo wamewahi kuwa nayo
  12. Echolima1

    Mwamba Waziri Mkuu wa Israel akiongea na Volodomyr Zelensiky huko Washington!!

    Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana
  13. Troll JF

    UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  14. Roving Journalist

    Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, Agosti 5-6, 2026

    Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 5 – 6 Agosti 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere. Mkutano...
  15. baz kaiza

    Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  16. baz kaiza

    Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  17. O

    Uhalali wa Kennedy Orinyo Nyamanga kuw mkurugenzi mkuu wa urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda kuwatakia Kila la kheri,nawatanzania nawatakia amani ya afya katika ardhi ya Tanzania chini ya kiongozi...
  18. J

    Kwanini Tanzania haikumpendekeza Migiro kugombea ukatibu mkuu wa UN

    Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika. Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi...
  19. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel aenda Marekani kuonana na Trump!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington. Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
  20. U

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imeanza safari kuelekea Marekani muda huu

    Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
Back
Top Bottom