mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

    https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
  2. Pascal Mayalla

    Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  3. Echolima1

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC mbakaji, Karim Khan hatimaye atimliwa kwa aibu

    Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
  4. Troll JF

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake. Khan ambaye ni mwendesha...
  5. Ngongo

    Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  6. Sifi Leo

    Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  7. L

    Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi. Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
  8. Echolima1

    Njama za kumuua mtoto wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu zagunduliwa

    Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli. Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
  9. Fbn

    TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  10. M

    Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  11. J

    Jaji Chande alisema kuna watoto waliuawa Oktoba 29. Je, Katibu Mkuu CCM alikuwa sahihi kusema ‘Vyombo vilifanya kazi iliyotukuka’?

    ..Jaji Chande amesema Oct 29 kuna watoto waliuwawa. ..kwa muktadha huo naomba tutafakari kauli za Mwenyekiti, na Katibu Mkuu, wa Ccm. .Je, nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi? ..Je, vyombo vilifanya kazi iliyotukuka?
  12. B

    Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026 June 2026 Juba South Sudan Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe wa AU Jakaya Kikwete anaanza mashauriano ya ngazi ya juu mjini Juba huku Sudan Kusini ikiendelea na...
  13. figganigga

    Hongera Makonda kwa Uzalendo.. Samia akupe Uwaziri Mkuu

    Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake? MY TAKE Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
  14. Pulchra Animo

    NijuzeNews: Mahojiano na Dr. Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.

    Katika mahojiano na NijuzeNews, Dk Nshala atema nyongo! https://www.youtube.com/watch?v=E1YHABa2SGc
  15. britanicca

    Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+ Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje, Britanicca
  16. Roving Journalist

    Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  17. Inside10

    Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
  18. Kizibo

    Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kisheria ni watu wangapi wanatakiwa kushiriki uchaguzi mkuu ili uwe halali kisheria?

    Hamjambo! Tume ya uchaguzi ilitangaza Mgombea wa CCM, Mhe Rasi, Samia Suluhu kushinda uchaguzi kwa kura zaidi ya 30M huku ikisema ni zaidi ya asilimia 97 na pointi huko. Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini matokeo ya tume yanamakosa. Watu 30M kwangu naona ni uongo. Kutokana na kilichokuwa...
  20. M

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
Back
Top Bottom