mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

    Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
  2. Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  3. Ukweli uwe mbele: 'Walioaminiwa sana' na Mwendazake wakichunguzwa, madudu hayatatazamika. Kuungwa kwao mkono na Mwendazake kilikuwa kichaka hatari

    Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini na kumtetea sana Kakoko. Alikuwa akimsifu na kumpa 'sapoti' ya kutosha na kutisha. Rangi halisi ya...
  4. J

    Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

    ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia. Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
  5. Unavaa saa mkono gani?

    Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa. Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu pia anavaa mkono wa kushoto na anaigeuza sehemu ya kuangalia mda inakuwa kiganjani, huangalia muda...
  6. P

    Naingiwa wasiwasi mno na uungwaji mkono kutoka upinzani, Usije kuwa ni lainisha upigaji kiurahisi

    Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli tuna upinzani uliodhamiria kuondoa Uonevu Kwa watumishi wa Umma ambapo wao kama upinzani walikuwa...
  7. Tanzania, Kenya zapewa mkono wa kwaheri AFCON

    Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku. Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya...
  8. C

    Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  9. J

    Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  10. Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli. Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini...
  11. Wanawake ambao ukikutana nao, hutakiwi kutongoza, ila ukimkuta wewe shika mkono muende zenu

    Hahahahaaa Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha kufanya ni kushika mkono, mnapitia Condom kwa Mangi, huyoo mnatoboa mpaka geto. Ifuatayo ni list ya...
  12. M

    Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

    " Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli. Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata...
  13. C

    Huu ni mkono wa nani?

    Awiii Uwiii Awoo! ni vilio kila kona. Viiana, wazee nao, alo salama hakuna, Nchi ni maombolezo, mazikoni twapishana. Tumwendee Mungu Baba, yeye ni mwenye rehema. Awali tunakumbuka, virusi vilisheheni, Pamoja tulianguka, tukaenda magotini, Pasipo kuwa na shaka, pembezoni na mijini, Mungu...
  14. Mkuu wa wilaya ya Bariadi nakuunga mkono 100% kwa hili la watendaji wa Tume ya Madini kuwaingilia

    Nimesoma taarifa za kikao kilichohusisha viongozi wa serikali ya mkoa wa simiyu na wizara ya madini chini ya kaim Afisa madini wa mkoa Ndg. Kumbulu. KWANINI NAUNGANA NA MKUU WA WILAYA MH. KISWAGA Mtu yeyote afatilie leseni zote za madini katika nchi hii, na wavumbuzi wa madini katika leseni...
  15. Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

    Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
  16. M

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  17. Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

    Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu. Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3. Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
  18. Mkono wa buriani wa mama Sykes kwangu

    MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi. Nilikuwa natoka kufanya kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar, Studio za Clouds Plus, nikaona kheri nimpitie Mama Sykes kumwamkia. Nimemkuta ameshika mashafu yake anasoma...
  19. B

    Vita dhidi ya Corona aungwe mkono Prof. Bisanda

    Mabibi na mabwana siyo siri kuwa kama taifa na kama wanadamu wenye kutamani kuishi, tunapita katika kipindi kigumu sana. Katu haitusaidii hata kidogo katika kukataa kuwepo wa ugonjwa huu kwa musuli wa nguvu au ukubwa wa sauti zetu majukwaani. Ieleweke kuwa hadi kufikia maprofesa nguli kama...
  20. Naunga mkono hoja ya kuimarisha mifumo ya nchi

    Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi. Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa bahati mbaya Sana kwao. Nitatoa mfano mmoja Kwa sasa mkuu anapenda kuona Jimbo lake linapaa na Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…