Wanajamvi hamna namna ni kumuunga mkono tu mayor wa zamani wa new York billionaire Michael Bloomberg aweze kuombea dhidi ya Trump 2020. Bloomberg akiwa rais the world will be a better place to live belive me please.
The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote...
Polisi Tanzania Wakanyaga katiba Kwakufanya siasa wazi wazi bila kificho ushaidi huu hapa.
Salamu ya “kidumu Chama cha Mapinduzi” aliitoa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana alipokuwa Butiama mkoani Mara wakati wa hafla ya kumbukizi ya miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa.
zaidi...
Habari za jioni wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro.
Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...
Leo nataka nishereheshe moja ya hoja ya Mh. Nape Nnauye Bungeni aliyoitoa tarehe 10 February 2018 ikiungwa mkono na wabunge Mh Msigwa na Mh Zitto Kabwe ya kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania. Nape alitoa hoja hii wiki moja baada ya mimi na yeye kukutana pale...
Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.
Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.
Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete...
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.