mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Ki kundi cha kigaidi cha Kataib Hezbollah (KH) inayoungwa mkono na Iran chatengwa na Magaidi wenzao huko Iraq!!!

    Kataib Hezbollah (KH) inayoungwa mkono na Iran inakabiliwa na kutengwa kisiasa huku washirika wa zamani, wakiwemo Asaib Ahl al-Haq, Kataib Imam Ali na harakati za Muqtada al-Sadr, wakiunga mkono kampeni ya Waziri Mkuu wa Iraq Ali al-Zaidi ya kuweka silaha zote chini ya udhibiti wa serikali...
  2. E

    Mbeki aunga mkono Ramaphosa kujiuzulu baada ya ANC kufanya vibaya uchaguzi

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi. Soma zaidi...
  3. zitto junior

    Pigo jingine kwa Netanyahu: Chama kutoka kambi yake chakataa kumuunga mkono

    Wakati wa mashauriano kati ya wakuu wa chama na Herzog, ambayo yalimalizika Alhamisi, wanachama 67 kati ya 120 wa Knesset walimuunga mkono Eisenkot, huku 46 pekee wakimunga mkono Netanyahu. Uidhinishaji wa Netanyahu ulipungua viti 7 kati ya viti 53 vya kambi yake baada ya Uyahudi wa United...
  4. Keynez

    Kama hautaweza kuhudhuria mahakamani Novemba 06, basi walau simama pembeni ya barabara umpungie mkono shujaa Tundu Lissu

    Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara. Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
  5. M

    Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

    Wakati wa uchaguzi ndani ya chadema nilimpinga sana Lema, niliona mbali sana. Mnaona sasa? Kikowapi?
  6. The Khoisan

    Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Sitakula wala kunywa kwa siku tatu mfululizo kuanzia 26/10/2026-29/10/2026 kumuunga Tundu Lissu mkono kwenye mgomo wake

    Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama. Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake. Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
  8. Q

    CHADEMA yatoa wito kwa Watanzania kuanza migomo Jumatatu kumuunga mkono Mwenyekiti wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
  9. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  10. MIXOLOGIST

    Ambaye ameshawahi kulanguliwa mapenzi na anyoshe mkono

    Ni hivi. mapenzi au ngono ni kitu ambacho kinapaswa kutolewa bure. Sisi binadamu kama wanyama wengine, tuna haki ya kufurahia matunda na mema ya nchi. Ni sawa, unapaswa kubembeleza na kushawishi, kwa sababu wanadamu tuna utashi na siyo kama jogoo ambaye anatembeza moto to kwa mtetea yoyote...
  11. J

    Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa...
  12. comrade_kipepe

    Natangaza rasmi, kwa sasa nahamia CCM na kuwaunga mkono

    Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe. Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi...
  13. Alexido jz instagram

    Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

    Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja. Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina ufanyike na watuhumiwa wakamatwe, bado haija julikana chanzo nk
  14. E

    Mwaipaya: Kwa nini nilimuunga mkono Lissu uchaguzi wa CHADEMA na Nipo tayari kulipa gharama za demokrasia

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa. Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
  15. Lavit

    Hili suala la wamachinga Chalamila anapaswa kuungwa mkono na watu wote!

    Wakuu habari! Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga! Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro! Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
  16. T

    Taaluma Zetu Zisitufungie Milango — Wenye Experience Tushikeni Mkono.

    Wakuu habari za muda huu 🤝 ‎ ‎Kuna namna fulani threads za hapa JF zinavyokuwa na mambo ya taasisi mbalimbali zinazolipa vizuri Tanzania, ukizisoma unajikuta unasema, “Dah, Mungu siku moja na mimi anione.” ‎ ‎Aisee kuna baadhi ya threads ukikaa ukasoma experiences za watu, career journeys zao...
  17. Mmawia

    Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini. Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh 3,000,000. Kisa kuwapiga marungu wale wasiyo linda migongo yao. Leo hii wabunge wamejitikeza kumuunga...
  18. ngara23

    Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  19. Yoda

    Siungi mkono katiba mpya isiyo na haki za makundi yote na kutenganisha dini na siasa.

    Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono. 2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
  20. idiomer

    Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
Back
Top Bottom