mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  2. Analogia Malenga

    TAKUKURU yaonya wenyeviti wa vijiji kutouza ardhi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapa onyo Wenyeviti wa vijiji kutouza ardhi kiholela na kutambua kuwa sheria ya ardhi ya vijiji haziwapi mamlaka wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji kuuza ardhi bila ridhaa ya mkutano mkuu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph...
  3. NCCR Mageuzi

    NCCR Mageuzi: Tunaunga mkono waraka wa TEC kuhusu Corona

    Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19). NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua...
  4. S

    Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

    Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...
  5. S

    Tundu Lissu aunga mkono hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo waliovuruga uchaguzi mkuu wa mwaka jana

    On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for your violent and fraudulent actions! And there's more to come! Chanzo: Ukurasa wake wa twitter. PIA...
  6. Gama

    Armed protesters gather at heavily fortified state capitols of Ohio, Michigan, Texas and elsewhere

    Mitandao mbalimbali inaonesha kuwa wandamanaji wamejipanga huku wengine wakijihami kwa silaha, nzito, aidha, makundi kadhaa ya kijamii yanaendelea kutuma maombi ya kupewa vibali vya kuandamana. Side B: D Trump anatangaza kuwa atafanya hafra ya kuagwa ikijumuisha, red carpet.....hii Ina maana...
  7. Hisha Sorel

    Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

    Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao...
  8. BLUE BALAA

    Namuunga mkono Rais Magufuli 100% kuendeleza Chato

    Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi. Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi...
  9. Mkogoti

    Mwana JF uliye ghorofani ndani ukumbi wa starehe Musoma nyanyua mkono halafu tuseme yekete

    Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi. kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga kelele "yekete"🤦😂🤣🤣 Nipo nakula raha na baridi hili leo ndo leo humu.✋Yekete. 🤦🤪🏃
  10. M

    Naunga mkono kinidhamu kuachwa kwa Jonas Mkude Taifa Stars, ila kuachwa kipa Mnata na beki Tshabalala sijamwelewa Kocha Ndayiragije

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije. Kama...
  11. hypothalamus

    Mfahamu Sadhu Amar Bharati,mtu alienyoosha mkono wake juu bila ya kuushusha kwa miaka 47

    Sadhu Amar Bharati wa India amenyoosha mkono wake wa kulia juu kwa miaka 47 bila ya kuushusha chini kama alama ya Utukufu wa Mungu wa kihindu ‘Shiva’ Mwaka 1973 aliamua kunyoosha mkono wake wa kulia kwa nyuzi 90 hewani,kufikia 2020 vidole vyake vimejishikiza kwenye kiganja cha mkono,kucha zake...
  12. EINSTEIN112

    Wanaogopa kujitokeza hadharani kuunga mkono mapambano, ila wanajiandaa kushangilia matokeo hadharani!

    Na: =AZUyJE0XsASvCgGjApTGwS3L_hCJUm7gOWzdXrklxTEyYZwd2V8bnDc5yL-bEXA4xJa55xT6o_FzdS26Nal8Gy1GMe5g7GktQi_B2uIrS59dw84mrd2M-CfjGME0Yw-AnGIkMA7oXpsPMtvtKPiuOeLb3XbdESgr4_7NKSdEzAkcO6lmp_ng4vkUGGsupURKdvJ941n-ff98T6cy0fKpp_mc&tn=-UC%2CP-y-R']Emmaus Bandekile Mwamakula Hawa wako wengi sana! Wengine...
  13. V

    Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

    Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini. Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
  15. YEHODAYA

    Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  16. K

    Tatizo ni Wagombea wa CHADEMA au tatizo ni Wananchi wanaozidi kuwaunga mkono?

    CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground. Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano...
  17. S

    Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  18. J

    Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

    Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia. Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo...
  19. MsemajiUkweli

    Je, Zitto Kabwe alijisahau na kuanza kuung'ata mkono unaomlisha?

    Kwa mtu anayezijua vizuri siasa za nchi hii lazima atakuwa anajua kuwa bila ''mkono'' wa CCM, Zitto Kabwe asingekuwa hapa alipo kisiasa! Ukweli huu ndio ambao ulimfanya Zitto Kabwe kutoaminika ndani ya chama chake cha mwanzo (CHADEMA) mpaka chama kikaamua kumfukuza uanachama! Malezi yake ya...
  20. MIMI BABA YENU

    John Malecela: Tuunge mkono juhudi za Rais Magufuli kwa maendeleo endelevu

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga uchumi imara na endelevu. Mzee Malecela ameyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na...
Back
Top Bottom