marekani

  1. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Timu Wachezaji Wa marekani wote wenye asili ya china waifunga china kwenye olimpic

    Hawa ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya Marekani (USA) Table Tennis Ambayo imeifunga Timu ya Taifa ya China kwenye Mashindano ya Olympic. 😜😜😄😄
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Trump na Kamala watofautiana kuhusu Mdahalo

    Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox Tangu Biden ajiengue, Trump amekuwa hana msimamo kuhusu iwapo atashiriki mdahalo huo ambapo awali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema inabadilisha Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Mashariki ya Kati Ili Kuilinda zaidi Israel

    Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel. Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bila Iran na Russia kufanya maamuzi magumu, Marekani na Israeli wataendelea kuwanyanyasa sana

    Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli ikome kutegemea ubabe wa Marekani, ni shariti ifanye maamuzi magumu sana ya kutumia silaha kali...
  5. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Akihutubia Bunge la Marekani, Netanyahu alisema ni wakati sahihi wa Iran kupigwa

    Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo. Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangalia utajiri wa Elon Musk (Marekani). Hawajui historia

    Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa...
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

    Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East! A senior Pentagon official confirms.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopanda SGR eti ni kweli kuwa sehemu ya 'Kuukweka' katika Mabehewa yake ni kama vile uko White House Marekani?

    Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege ya Marekani ya katisha safari za Israel

    Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran ⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa walioko Marekani

    Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA, Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo, Nipo serious, Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi, Umri wangu...
  11. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Majimbo Sita yatakayoamua mshindi wa Urais Marekani!

    Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November. Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
  12. ward41

    JamiiForums Tanzania Eti Marekani wanachapisha dollar market value ya baadhi ya makampuni ya Kimarekani

    Narudia tena na tena mchina, Russia bado
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

    Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano. Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani 2024: Donald Trump ndiye chaguo la Mungu

    Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani! Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald...
  15. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

    Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

    Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama? Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Watanzania mlioko huko Marekani tunaomba Maoni yenu je, nyie mnataka nani kati ya Biden au Trump awe Rais huko?

    GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
Back
Top Bottom