marekani

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth wadai kuidondosha ndege nyengine ya Marekani

    Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen. Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado hazijathibitishwa na Marekani.Hata hivyo jeshi la Marekani mapema leo limeendelea kuishambulia Yemen kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

    Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets. Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimeinjoi disco la kimya kimya

    Hili suala la mimi kuwa Marekani mvumilie tu. Nimetoka mbali kama nilivyoeleza uzi uliotangulia. Basi bwana leo mzee wenu nikaambiwa kuna disco la kimyakimya sehemu(Silent disco). Nikasema ngoja nikaone linakuwaje. Nikaenda mzee wenu, kweli kufika pale naambiwa nijisajili kisha nikapewa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani. Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kumbe hadi Marekani

    Halafu ukiangalia wote watu weusi, au ndio maana trump anawekaga Sheria Kali anasema US kunaingia watu kiholela. Unaweza ukasema Kariakoo
  6. Akotia

    JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka 14 avamia shule, aua kikatili wanafunzi wenzake na walimu

    Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School. Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Vijana Wa Nigeria wafungwa Marekani kwa Uhalifu wa Mitandaoni

    Ndugu hao walimdanganya Jordan kwa kujifanya Msichana wa umri wake kupitia Instagram na kumshawishi atume picha za faragha. Baada ya kupata picha hizo, walimtishia kuzisambaza ikiwa asingewalipa Mamia ya Dola za Marekani. Imeelezwa Jordan aliwalipa hadi alipoishiwa kabisa ambapo aliwaahidi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuoa Marekani ni zaidi ya kutaka kufuliwa

    Tanzania mke anaonekana ndio mfuaji. Ila huku kufua ni jambo la kimashine zaidi. Na hata kama hamna mashine ya kufulia nyumbani viko vitu vya kufulia kwa gharama nafuu na hakuna maseke. Mfano hizo ni mashine za kufulia na hakuna mtu hapo, unaweka hela unaweka nguo unafua ukimaliza kuna mashine...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msijizuie kuja Marekani, maisha mepesi tu

    Wala siwezi kuwa kama wengine wanaowatisha watu kuwa huku maisha magumu. Mgumu ni wewe. Vitisho mnavyosikia kuwa maisha ya Marekani ni magumu, ni sawa na vitisho vya watu wa Dar kwa watu wa mkoani kuwa Dar maisha magumu. Ila kiukweli ukienda Dar ukiwa na mishe za kufanya, mambo ni mepesi tu...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

    Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20. Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

    Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa Chanjo 10,000 za MPox Nchini Nigeria

    Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya USAID Serikali ya Nigeria imeamua kuyapa kipaumbele majimbo matano...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Kivita ya Marekani imeangushwa huko Syria Pilot kutokome kusiko julikana

    Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING: According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mkosoaji wa China akamatwa kwa mashitaka ya ujasusi marekani

    Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China. Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani. Inavyoonekana sio kila mkosoaji wa nchi fulani hasa hizi kubwa anaye kimbia nchi yake na kukimbilia nchi nyingine...
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Taliban Washerehekea Miaka 3 ya kuitwanga na kuifurusha Marekani nchini mwao

    Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma. Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania USAID kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni za Tanzania ili kuboresha Usalama wa Chakula

    Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3 SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula na kuimarisha ushindani wa Tanzania...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanachama wa vyama vya siasa Marekani hawasemi Republicans/Democrats oyeee?

    Nimeangalia conventions mbili za vyama vya siasa Marekani na pia huwa naangalia mara kadhaa mikutano yao ya kisiasa, kinachonishangaza ni kama huwa hakuna kauli za hamasa za ki-vyama kwenye mikutano ya chama au kampeni. Amsha amsha za vyama vyote huwa wanaimba tu USA USA USA. Hakuna mambo ya...
Back
Top Bottom