marekani

  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Urgent! Natafuta chuo Marekani kisichoomba IELTS/ TEOFL nikasome masters

    Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL. Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo. Wasalaam!
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya. Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Biden awaaga Marais wenzake kwenye Mkutano wa 79 wa UNGA

    Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea Soma Pia: Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia' Al Jazeera news
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya Marekani imepata athari mbaya.Uchunguzi unaendelea

    Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo. Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Marekani kupanga kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano

    Nimekutana na poster yenye taarifa kuhusiana na ubalozi wa Marekani kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano, je ni upi uhalisia wake?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka. Vikosi vya wanajeshi wenye weledi maalumu huko Mashariki ya kati

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: US...
  8. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

    Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli. Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani ingependa iwasaidie Ukraine kwa silaha zaidi, lakini wameishiwa.

    Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa. Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

    Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk. Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

    Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris hatoshinda uchaguzi mkuu ila atatangazwa kama mshindi

    Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024. Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa...
  19. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Culture ya nchini Marekani ilivyoiteka afrika kupitia muziki toka enzi hizo

    OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika. Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap .. wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
Back
Top Bottom