marekani

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iran yakanusha kuhusika na jaribio la Mauaji ya Donald Trump

    Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye alinusurika katika shambulio la risasi iliyomjeruhi Sikio Julai 13, 2024. Inaelezwa kuhusishwa kwa Iran...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzuia virusi ya Urusi Kaspersky yajiondoa Marekani baada ya kupigwa marufuku

    Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo. Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa wagombea hawa Marekani inaelekea kuwa Somalia

    Zaidi ya miaka 30, nchi ya Somalia imekuwa ni uwanja wa mapambano wa makundi yanayopingana na hakuna mwelekeo wa kupata suluhu karibuni. Ilikuwa ni nchi yenye kheri nyingi mpaka pale walipomkufuru Mungu na kufanya kiburi kwa neema walizokuwa nazo. Marekani nayo, kwa takriban miaka 50, imekuwa...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nchi 32 za Ulaya, Marekani na Canada (NATO), Australia, Japan na Korea wanapambana na Urusi

    Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1. Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO. Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Marekani na Urusi wanapigana vita ya nini wakati wanashirikiana kwenye mambo mengi tu?

    Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli. Kwa Africa ni Nigeria ndo linaloongoza kupewa michango. Nije kwenye point yangu. Kwanini marekani...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani kuchochea kile kinachodaiwa "udhibiti wa China wa maliasili za Afrika " kwafichua ubabe wake

    Kutokana na kuongezeka kwa changamato za mabadiliko ya tabia nchi, mahitaji ya mabadiliko ya nishati duniani yameongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kuonyesha umuhimu wa kimkakati wa Afrika ambayo ina asilimia 30 ya rasilimali za madini duniani. Hii imekuwa fursa muhimu kwa Afrika...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
  15. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale wanaojipanga kutoka nje ya mipaka ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Nitaanza kuweka njia rahisi za kuingia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani. Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake. Chanzo cha habari yangu ni...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wabunge wapendekeza mpango wa kulinda haki ya faragha mtandaoni kwa Wamarekani wote

    Wabunge wawili wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wamefikia makubaliano ya pande mbili ambayo kwa mara ya kwanza yanaweza kutoa haki ya msingi ya faragha ya kidijitali kwa Wamarekani wote na kuanzisha sheria ya kitaifa inayosimamia jinsi makampuni yanavyoweza kukusanya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Jimbo la Oklahoma laamuru shule kutoa mafunzo ya Biblia 'mara moja'

    Afisa mkuu wa elimu wa jimbo la Oklahoma nchini Marekani ameamuru shule kuanza kujumuisha Biblia katika masomo, katika agizo la hivi punde ya kuhusu mafunzo ya kidini shuleni. Agizo lililotumwa na Msimamizi wa jimbo la Republican Ryan Walters lilisema sheria hiyo ni ya lazima, inayohitaji...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  20. X

    JamiiForums Tanzania China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
Back
Top Bottom