marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22

    Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni: majimbo mangapi yawepo na kuunganishwa kwa wanajeshi 83,000 kutoka vikundi mbalimbali. Swahili Times
  2. JamiiForums Tanzania Kila mbabe ana mbabe wake. European Union, UN, Human rights Watch na Amnesty International kwa Marekani huwa ni vikundi vya waporaji tu

    Kinachonishangaza ni kwanini mataifa mengine yako kmya juu ya mambo anayofanya marekani kwa kuchokoza mataifa madogo kisa ana nguvu ya kijeshi. Pia ndio mwanzilishi wa migogoro ya kila aina kisa rasilimali za nchi husika lakini Umoja wa mataifa wako kimya na hakuna lolote wanaongelea juu yake...
  3. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Jenerali Soleimani: Marekani yaanza kupata Washirika, Uingereza yasema ipo ukurasa mmoja na Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Uingereza, Dominic Raab amesema wapo ukurasa mmoja na Marekani kuhusu mauaji ya Jenerali Qassem Suleimani Amesema ameongea Rais wa Iraq na Waziri Mkuu, pamoja na Ufaransa na Ujerumani, ikiwa lengo ni kurudisha utulivu na kulinda Majeshi na Wananchi wake katika maeneo...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani kutoa kipigo zaidi kwa Iran

    Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran endapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu itaamuwa kulipiza kisasi. Akitumia jukwaa lake maarufu la mtandao...
  5. JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

    LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA: Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda...
  6. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

    Kituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad. Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸 Iraq News
  7. JamiiForums Tanzania The killing of Qasem Soleiman: The US government has done a huge mistake that will cost its Economic interest in the Middle East

    Trump made a huge mistake.He was supposed to bring peace and achieve an important peace "contract"with Iran since they were expecting that to happen. We want peace in the world, no more deaths.Go back home and leave innocent people live their lives. I hope that UE, Russia ,China and Japan...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Marekani kuondoshwa Iraq kwa au kuingizwa gharama kubwa za kuivamia upya Iraq

    Haya ni maoni binafsi yanayotokana na kitendo cha marekani kumuua kanda wa Quds Force Qasem Soleimani mapema leo. Iran itajibu mapigo kwa kupeleka kikosi cha makamanda na wanajeshi wa kujiyolea kwa maelfu nchini Iraq kuikabili marekani. Kikosi hiki kitaliteka jeshi la Iraq kisha kuanzisha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Marekani wanamkumbuka Sadam Hussein .Sadam alikuwa anawakomesha IRAN watajutia

    Sadam Hussein ailiuliwa kwa ajiki gani haswa.Mbona watamkumbuka sasa
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba

    Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro. Marekani imemuweka kwenye orodha ya vikwazo Leopoldo Cintra Frias, Waziri wa Majeshi ya Mapinduzi ya Cuba, na watoto wake...
  11. JamiiForums Tanzania Ni madhara gani huwapata viongozi wa Kiafrika wanaopigwa marufuku kusafiri kwenda nchi za Ulaya?

    Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa usalama wa taifa South Sudani kwa kuteka, kupoteza na kuua

    Dong Samuel Luak na Aggrey Idri walitoweka January 2017 Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa ngazi za juu za Usalama wa Taifa wa South Sudan, NSS, kwa kuhusishwa na utekaji na mauaji ya wakosoaji wawili wa serikali ya Rais Salva Kiir miaka mitatu iliyopita. South Sudan imekuwa ikikana...
  13. JamiiForums Tanzania Waandamanaji waondoka eneo la ubalozi wa Marekani, Baghdad

    Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi nchini Iraq yanayoungwa mkono na Iran ambao walivamia maeneo ya viunga vya ubalozi wa Marekani na kurusha mawe katika maandamano ya siku mbili wameondoka jana(01.01.2020). Hatua hiyo imewezekana baada ya Marekani kupeleka vikosi vya ziada na...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani anaweza kuziwekea nchi zote duniani vikwazo?

    Nimewaza tu. Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo. Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic ila akasema wanategemea mfulululizo wa vikwazo kutoka Washington na wamejiandaa, watakabiliana navyo...
  15. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii inafuatia hapo juzi kushambuliwa kwa kambi za wanamgambo huo na kuuliwa wapiganaji wasiopungua 25...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

    Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
  17. JamiiForums Tanzania Mfichuasiri wa Marekani aliesababisha Rais Trump kuanza Kuchunguzwa ajulikana

    Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa. Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yamuondoa Balozi wake Zambia baada ya Zambia kumtaka aondoke kwa kutetea mapenzi ya jinsia moja

    Daniel Foote alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Zambia Marekani imemuita balozi wake wa Zambia nyumbani huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kati ya nchi hizo mbili baada ya Balozi huyo kukosoa vikali hatua ya Zambia ya kuwafunga jela wapenzi wa jinsia moja, vyanzo vya ubalozini vimesema...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu. Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana? Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICC kuichunguza Israel. Marekani yawatetea, Israel nao wajibu kwa kuukaribisha uchunguzi huo

    Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi yake inapinga vikali uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu Kivita ICC wa kufungua uchunguzi dhidi ya uhalifu unaotuhumiwa kufanywa na Israel. Pompeo amesema hatua hiyo iliyotangazwa jana na mwendesha mashtaka mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…