marekani

  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Wadau Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani. Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na...
  2. JamiiForums Tanzania Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
  4. JamiiForums Tanzania Barick kazini, hili la kuwawekea watu wa karibu na Rais wasisafiri kwenda Marekani ni kuficha ukweli wa biashara zao Makinikia yatakuwa undervalued

    Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Misaada ya kibinadamu ya Uswisi kwa Iran, Marekani yaafiki

    Kitanzi cha vikwazo kwa Iran chapata mwokozi kunusuru mamilioni ya Wairan Uswiss yajitwisha kuokoa jahazi baada ya Iran kuelemewa na vikwazo walivyowekewa na Marekani. Katika msaada huo wa kibinadamu kwa Iran, Uswiss imeihakikishia Marekani kuwa haitavunja vikwazo zilivyotangazwa. Misaada...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani na Trump wamefikia wapi kuiwekea Tanzania vikwazo? Jumatatu imepita

    Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump. Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu...
  9. JamiiForums Tanzania Iraq: Maelfu waandamana kushinikiza vikosi vya Marekani kuondolewa nchini humo

    A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there. Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Wabunge wa Seneti nchini Marekani wakiuka Kanuni za Bunge kwa kupeleka vitafunwa ukumbi wa Bunge

    Wabunge wa Bunge la Seneti nchini marekani wamelalamikiwa na wanahabari kwa kuvunja Kanuni Zinazosimamia Shauri la Kumwondoa Raisi madarakani (Impeachment Trial Rules) kwa kuingiza pipi na vitafunwa kwa siri kwenye Ukumbi wa Bunge. Kwa mujibu wa kanuni hizo, vyakula na vinywaji vimekatazwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kutana na Mnigeria anayetengeneza drones za jeshi la Marekani

    Dr. Osatohanmwen Osemwengie ni mtengenezaji wa drones za jeshi la marekani. Mtu huyu anayetoa huduma kwenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani ni mzaliwa wa Edo State, Nigeria. Ana masters degrees 7 and PhD 3. Vilevile anamiliki kampuni ya kutengeneza drones na ni muanzilishi wa the Open Robotics...
  13. JamiiForums Tanzania Trump amuonya Ayatollah Khamenei wa Iran. Amtaka kuchunga kauli zake

    Rais wa Marekani, Donald Trump mnamo Ijumaa alimuonya kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa "mwangalifu sana na maneno yake," baada ya kiongozi huyo wa Iran kuitumia hotuba adimu kwa taifa hilo "kuidharau Marekani" na kulitetea jeshi la Iran. Trump aliandika katika ukurasa wake wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

    Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8 Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Maseneta 100 wa Marekani waapishwa kama Baraza la mahakama litakaloshughulikia kesi inayomkabili Rais Donald Trump

    Maseneta 100 wa Marekani wameapishwa Alhamisi kama baraza la mahakama litakaloshughulikia kesi inayomkabili Rais Donald Trump. Hakimu mkuu wa mahakama ya juu zaidi John Roberts aliapisha maseneta kuhakikisha wanatenda haki bila upendeleo. Wiki zijazo, maseneta wataamua iwapo Trump anastahili...
  16. JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    Baada ya Marekani kujinadi sana wana mitambo bora ya kujilinda dhidi ya makombora na shambulio lolote la anga, tambo za kuunadi mfumo wa Patriot ni bora na kupondea mfumo shindani wa Urusi wa S-400, imedhihirika mitambo ya Patriot ni feki baada ya kushindwa kuzuia shambulio la kwenye visima vya...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yaiondoa china kwenye viwango vya nchi wadhibiti wa ubadilishaji fedha

    Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha. Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
  18. JamiiForums Tanzania Wiki 1 ya kifo cha Kamanda Soleiman: Kiongozi wa Hezbollah aapa kuwarudisha wanajeshi wa Marekani nchini kwao wakiwa kwenye majeneza

    Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu. Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
  20. JamiiForums Tanzania Katika hili, Marekani imeshamkamata Iran

    Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…