marekani

  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine. Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi? Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yalalamika kuwa Iran yajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake hatari Urusi zikatumike vitani Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa Iran inajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake Russia zikatumike Ukraine. Yahofiwa zitakuwa ni drones hatari zaidi ya zile zilizotumika kushambulia Saudia zikayavua nguo yale machuma chuma ya Marekani (Patriot air defense system) yaliyoshindwa sio tu kuzuia...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Democrats: Wanamtaka mtu mwingine agombee Urais wa Marekani 2024

    Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international crises. Only 26 percent of Democratic respondents want Joe Biden to be the party’s nominee in the next...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani, China waanza mazungumzo kumaliza mgogoro wao

    Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  9. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza kuharibiwa kwa makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Luteni-Jenerali Igor Konashenkov alisema makombora hayo yaliyotengenezwa na Marekani ya HIMARS na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji usidhani tumesahau na usijisahaulishe uliahidi kuwa Pre Season ya Simba SC ni Marekani

    Ukilifanikisha hili ( likiwa kweli ) naenda Kukusaidia Haja Kubwa Getini Lugalo Barracks Mchana Kweupe mbele ya MP's akina Lydia, Mwita na Clement.
  11. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Urusi ingejifunza yaliyomkuta Marekani, yote haya yasingetokea

    Marekani ikiwa chini ya utawala wa bushi ilipanga kuzipindua serikali 3 kwa wakati mfupi ,huku ikijiamini na silaha nyingi , washirika wengi, akajua kabisa angeipiga Iran, Iraq, na North Korea kwa wakati mmoja, kilichomkuta aliishia kumpiga Iraq tena kwa tabu sana akiwa na washirika wake wengi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

    Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana... The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours. US...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yagundua tani milioni 30 za dhahabu zenye thamani ya Dola za Marekani Trilioni 12

    Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon...
  16. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya nne(4) mfululizo Marekani Imeshindwa kutest kombora la Hypersonic/US hypersonic missile test fails

    Tukisema Russia amemwacha US miaka kumi (10) kwenye tech mnabisha haya sasa ndugu yenu anazidi kutia aibu dunia. Kama mnakumbuka kuna taarifa zilizagaa kuwa US amefanikiwa kutest kombora la hypersonic lenye spidi ya 5x ya sauti. Zile taarifa tulipewa matangopori zilikua ni za uongo walikua...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Bora Tanzania kuliko Marekani - Wacheni kushobokea majuu

    Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu? Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kupiga hatua kwenye teknolojia ya 5G, huku ikizitaka nchi nyingine kuacha teknolojia hiyo

    Fadhili Mpunji Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uchapishaji na uuzaji wa magazeti Marekani washuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja

    Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022. Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times yameendelea kuongoza katika nafasi ya kwanza na ya pili kwa kuuza nakala nyingi lakini bado takwimu...
Back
Top Bottom