marekani

  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Urusi yapitisha ndege za Kijasusi Alaska, Marekani

    Jeshi la Urusi limepitisha ndege za kijasusi kwenye eneo la Ulinzi la Marekani la Alaska Air Defence Zone na kuthibitishwa na NORAD Northern Amarican Aerospace Defence Command, Niwazi ndege hizi zilikuwa na Jukumu la kukusanya taarifa zinazohitajika kwa matumizi husika hasa ile ahadi Russia ya...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani watofautiana kuhusu roketi za Himars, hali itazidi kuwa mbaya Ukraine

    US senators divided over HIMARS ammo for Ukraine – media Disagreements over supplying Kiev with long-range rockets for the system cut across party lines, the Daily Beast reports FILE PHOTO: US military personnel stand alongside a M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) in Saudi...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

    Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine.. Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi katika nchi ya Kenya na Nigeria. Amesema nchi za Kiafrika zikatae masharti zinazopewa na nchi za...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

    Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo. Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

    Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park. Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika...
  8. dubu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuiwekea Vikwazo mirambo Kampuni ya Rostam Aziz?

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran. Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar. Hivyo Benki za Tanzania...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Museveni aiomba Marekani itafute namna ya kuisaidia Afrika kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Urusi

    Aomba Marekani itafute namna ya kuitenganisha Afrika na vikwazo vyake kwenye ugomvi ambao hauhusu Afrika..... Shukrani Museveni kwa kutusemea, jameni mafuta yamepanda bei Afrika kisa ubabe wa Mrusi kutaka kuonea kainchi kadogo jirani yake japo kamempa shida sana.............. “The problem here...
  11. Diversity

    JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi

    Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za Afrika ambapo zimeathirika na vita ya Urusi zidi ya Ukraine. Baada ya kufika Uganda aliziionya nchi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi ipo tayari kubadilishana wafungwa na Marekani

    Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

    Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo. Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza...
  14. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ayman al-Zawahiri: Jinsi shambulizi la Marekani lilivyomuua kiongozi wa al-Qaeda - bila kugusa familia yake

    Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa amekuwa akifanya hivyo kila baada ya maombi .Lingekuwa jambo la mwisho angefanya. Saa 06:18 saa za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wote mnaonyanyaswa na Marekani huu ni wakati wenu

    Ziko nchi ambazo haziridhishwi na sera za Marekani na Magharibi kuhusu mataifa Yao. Tanzania inasema ni nchi ya kijamaa huu ndio wakati wake wa kuonyesha kuunga mkono wajamaa wenzake kokote waliko kwa vitendo. Mataifa kama China, Korea, Iran, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Argentina, South Africa...
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

    Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
Back
Top Bottom