marekani

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais Biden

    Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024. Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Seneta Marekani anahoji msaada kwa Rwanda

    Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ameandika barua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtu Anayeweza Kuiangusha Marekani Kwenye Medani ya Kivita na Kiutawala katika hii Dunia ya sasa

    Marekani ndiye Super Power halisi katika dunia hii, Marekani amekomesha Utumwa, Marekani anapambana na Ugaidi duniani, Marekani anatetea Demokrasia na Uhuru wa maoni kwa kila mtu, Marekani anapinga vikali sera za utawala wa kimabavu na udikteita duniani ambazo zinafuata sera za kijamaa, Marekani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani

    Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.
  6. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

    Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke. Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke). Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu. Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

    Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777. Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kumshughulikia Kagame kwa tuhuma nzito

    Hamjamboni nyote? Nimeambatanisha kielelezo He Kagame amechokwa na wakubwa?!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kuzishawishi nchi za Mashariki ya Kati kuipinga China

    Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni kuzishawishi nchi hizo kushirikiana na Marekani kuipinga China. Katika ziara yake Mashariki ya Kati...
  10. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

    Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia. Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

    Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  13. avogadro

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Dunia ya Riadha yanayofanyikan Oregon Marekani na uhusika wa Tv za bongo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC Nilishangaa kumwona...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Marekani ashikiliwa DRC

    Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi hiyo Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye anaandikia magazeti ya Marekani The Nation na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Timu ya Barcelona yaelekea Marekani, Xavi azuiwa Uwanja wa Ndege

    Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala. Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Marathon kuwapatia Geay, Giniki Shs.161 milioni ikiwa wataibuka washindi Oregon Marekani

    MASHINDANO YA RIADHA YA DUNIA July 16 2022 Eugene, Oregon USA Kama watashinda mbio za marathon za 42km Jumapili ya tarehe 17 July 2022, basi wanariadha wa Tanzania Emanuel Giniki GISAMODA | Profile | World Athletics Emmanuel Giniki 2:10:39' nafasi 200 kwa ubora duniani huku Gabriel Geay...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila mwanakikundi wa Ngoma kutoka Bagamoyo aliyeenda Marekani kuzindua Royal Tour alipewa Tsh. Milioni 3 kwa siku

    Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Back
Top Bottom