mapenzi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu. Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo...
  2. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Je, ni mapenzi au ana lake jambo?

    Tuliachana mwezi January mwaka 2018, kila mtu aka-move on na yakwake, binafsi niliumia sababu nilimpenda kweli na yeye alinipenda ila kama unavyojua sababu tu za kiufundi za hapa na pale zikatutenganisha. Nikiri tu kuwa shinikizo kubwa la mimi na yeye kuachana ilikua ni rafiki zake. Rafiki zake...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

    Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga. Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo. Historia yangu kwa ufupi, Mpenzi wa kwanza. Huyu alinionesha mapenzi...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

    Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane. Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu! Duh...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

    Habari wana jukwaa Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini? Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti jiepushe na mambo haya usije kuuawa kwenye mapenzi au ndoa

    Kwema Wakuu! Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue. Andiko hili nitaliandika Kwa makundi mawili ya watu(wanawake) kundi la Wafuata mifumo ya Kiimani, kundi la pili ni...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Epukeni kuiga mapenzi, wala kufuata ushauri wa mtu, kila mtu ashinde mechi yake

    Kitu mapenzi haina formula; Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani! Fanya mapenzi yako kwa style yako! Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu! Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na Sikujua akilia kwenye busi kisa mapenzi

    Sikujua ni wale golden girls katika familia, amesoma elimu yake yote kwa msaada kidogo wa wazazi na msaada mkubwa shukran kwa serikali. Alipomaliza shule alibahatika kupata kazi katika taasisi ya umma. Ana kazi yenye heshima na kipato kizuri tu. Miaka 13 iliyopita alikutana na Raymond, kijana...
  11. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Epuka mambo manne 4 kabla au wakati unaelekea kujamiiana(kufanya Mapenzi) na mwenzi wako

    1. Usinyoe nywele sehemu za siri. 2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa). 3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa. 4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume

    Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Adhabu kwa Walimu wanaofanya mapenzi na wanafunzi wao Vyuo Vikuu

    Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
  15. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ambao tuko kwenye mapenzi na mpenzi mwenye mpenzi na wewe ukiwa na mpenzi mwingine etc Tujuane

    Heheheee hii Dunia tushinde game za home zote ni hatari nina demu anampenzi na Mimi nina mpenzi. Ukimuuliza umenikubalije hapati jibu ila tunabutuana vizuri japo kanaubahili wa shoo. Alhamdulillah nakashundua sio mbaya three nights a week and two excursions days. Hii game ikoje leteni visa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora. Sifa za huyo mwanamke : 1. Awe mwenye hofu ya Mungu 2. Awe kabila lolote lile 3. Umri kuanzia miaka 22 - 35 4. Asiwe single maza 5. Elimu yake iwe kuanzia form iv 6...
  17. kookaburra

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kinyume na sheria

  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ushirikina yana gharama kubwa

    Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga. Siku ya tukio mama sikujua aliamka alfajiri na kupasha maji moto. Aliyapeleka bafuni akitangulia na sabuni ya...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mapenzi nusu yanitoe uhai

    Nusu yanigeuze chizi, Ilibaki kidogo niwe teja! Nakumbuka kipindi hicho 2019, Hakuna mwanadada niliewahi kumpenda kama Modesta, Mama yangu alilifahamu hili, Wazazi wake hawakuwa na kipingamizi chochote cha mimi kuwa karibu naye, Kwa kuwa nilikuwa mfano wa kuigwa katika jamii, Mwenye tabia...
  20. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

    Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni. Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna. Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili ashushie na juice ya matunda mchanganyiko. Hapa kaisha maliza kula wakuu, ngoja nitoe vyombo...
Back
Top Bottom