mapenzi

  1. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

    Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako Au...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
  3. Alubati

    JamiiForums Tanzania Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe. Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka. Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  5. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Mapenzi jamani mapenzi, huu mchezo utaniua bure!

    Unayempenda hakupendi! Unampa hela bado hakupendi. Leo yupo kwangu kesho kwako. Hivi babu zetu waliweza survive vipi? Unahudumia nayeye anamhudumia mwingine. Unamjaza mimba ukimuuzi anasema siyo yako. Yaani ilimradi tuu yakutese wee, uteseke haswa. Ukisema ukae single basi lazima kuna kimtu...
  6. Mr Kachila

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi kuiendesha Dunia

    Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira yanayomzunguka na hata kimahusiano. Binafsi neno mapenzi, kwa kawaida hubeba hisia za ndani...
  7. DungaMawe

    JamiiForums Tanzania Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

    Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen. 1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka  TBS yani ile...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu yamenikataa

    Habarin za usiku, Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa. Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

    Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata. Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  11. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  13. RAFA_01

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

    Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa nashindwa kulala Maana kila demu anaeletwa anamegenwa na kulia usku kuacha sasa hii Hali jamaa amenifanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

    Habari zenu wakuu. Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo. Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko...
  16. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi yakiwemo uvumilivu, unyenyekevu, busara...
  17. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mapenzi haya

    Jamani wanajamvi za masiku nyingi....... Anyway kunayeyote mwenye dawa ya kuondoa tamaa ya mapenzi yaani kupenda? Maana naona ni kuwest time tuu
  18. Kasie

    JamiiForums Tanzania Huwa ananiambia ananipenda, ila hanifikii vile nampenda

    Habari za usiku huu... Natumai mna usiku mwanana na tulivu. Nikiwa naikaribisha weekend kutoka huku Nanjilinji nimeshindwa kuzuia hisia za Mahaba....! Huyu babu vile ananitenda, Mola anajua. Anasema na huwa ananiambia ananipenda, ila hanifikii vile nampenda. Basi jioni hii tukaanza semeshana...
  19. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wivu wa Mapenzi Unatumaliza

    Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga risasi. Ndiyo ni Davis kajiua kisa mapenzi baada ya kugundua mke wake anatoka nje ya ndoa. Davis...
  20. To yeye

    JamiiForums Tanzania Mapenzi nayo yana misimu

    Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥 Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)...
Back
Top Bottom