mapenzi

  1. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao. Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
  2. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

    Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa, Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi, Naanza mimi:- 1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni...
  3. Jembebutu

    JamiiForums Tanzania Nakutafuta Annrosse nikuone mara ya mwisho

    Nakutafuta Annrosse. Ni wewe tulikua tukiongea kwenye simu zamani sana. Ilikua miaka ya 2004. Ulikua ni ule msimu wa simu za bure Zantel tukiwa bado watoto Annrosse. Kuna siku nilikosea namba ukapokea wewe. Nilichukua muda kidogo nikakupigia tena kukuomba urafiki. Ulisita sana mwanzo ila...
  4. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

    .Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd. Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Ahlan wa Sahlan Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala. Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  7. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Vita ya ujirani wa mapenzi

    Wakuu habari. Naombeni ushauri ndugu zangu, mimi na familia fulani tuko marafiki wa muda mrefu, kuanzia baba wafamilia husika na vijana wa familia Hiyo tunaishi kama ndugu. Kijana mmoja wa familia Hiyo ana mke na mke Huyo amefanikiwa kuzaa binti, Tatizo limeanzia hapa saaa, Huyo binti...
  8. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitarajia kabla hujaanza mahusiano?

    Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule. Nilijua kwenye mapenzi kuna. •Utulivu •Furaha...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

    Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
  10. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi huwa yanachuja?

    Habari za siku nyingi wana MMU? Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea wala salamu. Baada ya miaka miwili nikaamua nianze kumpa salamu akipita maeneo yangu au tukionana...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ulichonacho kinatakiwa kiwe mchango kwenye mapenzi yenu

    Wacha niwape somo dogo kwa leo. Kwa mtu unaempenda na kwa mapenzi unayoyapenda. Vipaji vyako,elimu yako,kazi yako,pesa zako,ujuzi wako n.k hivi vyote vinatakiwa kuwa mchango katika mapenzi yako aiti ukiona mtu anatumia vipaji vyake kwaajili ya kukutesea ama kukulingia kaa ukijua huyo ni...
  12. Jaiter

    JamiiForums Tanzania SEX ALLERGY: Hivi kuna makundi ya watu hayafai ktk mapenzi?

    Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k? Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

    DeepPond leo nimesalimu amri hawa watoto wa chuo wana vibe lao bwana
  14. Desire mobutu seseseko

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

    Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha.. Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya? Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na...
  15. VentureCapitalist

    JamiiForums Tanzania Nime-fall in love huku JF...

    Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja. Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha! Ni pale...
  16. handsome boy wa jf

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda ‘bad boys’?

    Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys. Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni. Shida ni nini? Mfano mzuri kuna rafiki yangu mmoja ni muhuni kweli anavuta bangi kinoma lakini kuna...
  17. May Day

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yawe ni ya muda maalumu tu ili kuepusha mateso ya kihisia ya muda mrefu

    Ushahidi unaonesha kuwa hata mapenzi yaanze kwa nguvu kubwa kiasi gani lakini bado kamwe hayatodumu na kubaki na nguvu hiyo hiyo kwa muda wote. Inapotokea Wawili wamependana basi waingie makubaliano rasmi, kwa mfano wakubaliane kwamba wanahitaji uhusiano wao huo udumu kwa muda gani na iwapo...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

    I'm very spiritual man. Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa. Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...
Back
Top Bottom