maisha

  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na hofu na simanzi juu ya hatma ya kimahusiano ya binti yangu

    Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? Atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man. Tatizo ni hivi, siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa kijamii nimekua nikikutana maudhui ya ngono. Kusema ukweli niliingia baadhi ya account, video zite...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni akili ndogo za madereva au ni maisha magumu yanachangia hizi ajari

    Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma na wenzake kufungwa kifungo cha maisha kwa kufoji nyaraka za mahakama

    Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchomoa Betri Mzee Magoma asikilizwe tafadhali pamoja na kwamba tunamtishia Maisha na Kumroga pia

    Inawezekana vipi katika Mauzo ya Jezi zetu Yanga SC inapata Shilingi 1,300/= tu kwa Jezi moja huku Jezi zikiwa zinauzwa kuanzia Shilingi 35,000/= hadi 40,000/= hapa Dar es Salaam ila huko Mikoani kote zinauzwa kuanzia 80,000/= hadi 100,000/=? Tatizo tu ni kwamba Mafanikio ya Uwanjani...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani Kati hizi zitamlipa huyu kijana anayeanza maisha.

    Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara. Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki. 1. Kilimo Kwa mtaji huo atafute eneo alime mazao ya muda mfupi kama nyanya, mahindi na maharage, changamoto...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

    “Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”. - Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024...
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha yanabadilika sana

    Maisha Yana Badirika sana Kuna Muda unaweza kufikiri kwamba umefika mwisho Kila kitu kimeisha na hakuna tena TUMAINI la maisha. Lakini MUNGU anavyobadirisha maisha ya MTU ni kwamba ... Muda uleule unaofikiri kwamba Kila kitu kimeisha na umefika mwisho ndipo anafanya muujiza. Unashangaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

    nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya mchungaji - Anna unamjua Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu Mchungaji - Ania unajuma...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

    Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua...
  12. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Don't Carry the Burden Alone

    Don't Carry the Burden Alone 1. Don't keep negative feelings bottled up inside without sharing them with someone. 2. Seek help when you feel overwhelmed by problems. 3. Talk to friends or family when facing significant challenges. Reality is... 1. Keeping everything inside can negatively...
  13. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Usibebe Mzigo Peke Yako

    Usibebe Mzigo Peke Yako 1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu. 2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo. 3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba... 1. Kunyamaza na kubeba mzigo peke yako kunaweza kuathiri afya yako ya...
  14. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

    Signed out forever
  15. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

    Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu...... Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya makazini, mtaani,majumbani ambao tunawaona kama ndugu,jamaa,mashemeji au marafiki hakuna anayekuwazia mema...
  16. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Bahati Ina mchango mkubwa kwenye Maisha yetu

    Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa wakati kadhaa alikuwa ananipigia simu na kunipiga vizinga. Sababu nilikuwa najua hali yake, nikawa...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini...
  18. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Ni tatizo gani linakusumbua umekosa utatuzi mpaka sasa?

    Thread hii iwe msaada kwa wengine Hebu tushare najua kuna muda unakosa mtu wakushare nae baadhi ya vitu hebu. Tutumie muda huu kushare vile vitu vinavyotusibu na wataalamu zaidi watusaidie
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  20. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
Back
Top Bottom