KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.
1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo...
Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali.
Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
Lengo la dini ni kuhamasisha waumini wake kuishi maisha ya upendo na yenye nidhamu kwenye jamii. Tunafundishwa kutambua yapi ya kufanya (mema) na yapi ya kutokufanya (mabaya yenye machukizo kwetu na kwa Mwenyezi Mungu).
Inashangaza sana watu wenye utashi wa kutambua mema na mabaya wanafanya...
Rafiki yangu mpendwa,
Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana.
Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika.
Wakati hayo...
"Ndugu zako wanakupenda, kuwa kwako na Bima ya Maisha inaonyesha Unawajali Pia"
Umuhimu:
Maisha yamekuwa magumu na ya gharama sana, hata kitu kama kifo / mazishi /Misiba yamekuwa mzigo kwa familia na jamii na sababu ni jambo la ghafla unaweza ukakuta kifo chako kinawasumbua na kuwatia hasara na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
Tumekuwa tukitiliana ubabe na makonde mangumi watoto siku hizi haya mambo hawana.
Yaani enzi zile kutolewa meno ni kitu cha kawaida. Kutolewa nundu kitu cha kawaida.
Maisha yamebadilika kozazi hiki ni cha laptop na simu janja.
Enzi zole za mpira utasikia redioni. Ni vitimu vyetu uchwara...
Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao.
Hii inasababisha wanaume:
- Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata.
- Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
Na Dada Fridah Nakazwe
1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake.
#TAKARI KABLA YA KUMDHURU MWINGINE KWA LOLOTE.
Habari zenu wapendwa! Nachukua wasaha huu kuwashirikisha mtazamo wangu nakupenda kusikia kutoka kwenu Kuhusu Maisha.
Nimekuwa najiuliza hivi kama ningejikuta duniani Niko peke yangu tu. Ningeishije, je ningetamani kuendelea kuishi hivyo mpweke?
Hili swali ni gumu sana lkn maisha yanakuwa na...
Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri.
Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.