Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo...
Kuna umri ukifika, mwanaume uliyezaliwa rijali na kupitia mapito mengi hapa duniani ikiwemo maisha ya uchumba, club, pombe, unapowaombea watoto, omba naombea watoto wangu popote walipo, usiombee tuu hao wa nyumbani kwako.
Kuna wanawake wana siri nzito sana, unaweza ukampa mimba akapotea...
Ni bora kumvumilia mpenzi wako huyohuyo aliyekukosea kuliko kuanza kuongeza idadi ya mliowahi kudate na hatimaye kuwa Malaya. Hivyo ni bora kuwa mvumilivu kuliko kuwa Malaya.
Mbarikiwe!
Hello how are you all!!!!!
Leo nimekumbuka hiki kisa.
Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku.
Baba yangu ni mkulima pia wa tumbaku toka kitambo sana.
Huwa tuna utaratibu wa kuendea wasaidizi wa kazi...
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa...
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.
2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.
3.Siri ya mafanikio ya...
Habari wana JF.
Leo nimeona nikusogezee huu uzi utakusaidia kwa namna moja ama nyingine.
Watu wengi hivi leo wamekuwa wakidharaulika sana, kuumizwa sana, wengine kupotezwa kabisa kwenye gemu (upambani au biashara) kwa kushindwa kutengeneza mfumo mzuri wa ulinzi wa taarifa zao au mambo ambayo...
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa.
Na wanawake kwa...
Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
Habari za jioni wakubwa zangu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa.
.Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi walio iumba dunia yetu nzuli
Kwani ingetosha dunia kutokea ikiwa na jua tu lakini kwanini ikatokea...
Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe.
Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima.
Kilichoniuma zaidi ni mtu wangu wa karibu sana akalike hiyo comment kama kweli alikuwa ananiona mie kitu cha ajabu kwake si...
Wote tunaishi dunia hii, lakini kwa namna gani tutaiangalia sayari yetu ya dunia, itategemeana na hisia au feelings tulizo nazo katika wakati husika.
Iko hivi, ukiwa na hisia hasi au kuwa na hasira au huzuni, hakika utaiangalia dunia katika namna mbaya sana,mtu kama huyu atalaumu kila kitu...
Wasalaam ndugu zangu waswahili,
Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately.
Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha??
Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo.
Chanzo: ligikuu.com
Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki yako wa Kitambo Kipa wa zamani Peter Manyika aje kuwa nawe hapo. Na hata Kocha Mkuu wa Ihefu Aussems...
Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? Atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man.
Tatizo ni hivi, siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa kijamii nimekua nikikutana maudhui ya ngono. Kusema ukweli niliingia baadhi ya account, video zite...
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.