maisha

  1. JamiiForums Tanzania Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  2. JamiiForums Tanzania Ama kweli maisha kuwahiana

    Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana. Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma. Sema Tanzania tunaenda...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  7. JamiiForums Tanzania Super black akifurahia maisha

    Picha inamuonesha mstaafu huyo akienjoy maisha sura ikiwa na nuru na bashasha huku moyoni akisema msemo wa Herode "nimenawa mikono".
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

    Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja. Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kustaafu

    Waziri Mkuu mstaafu akiwa katika pozi la picha. Kumbe naye sio mnyonge kwenye mapozi ya picha.
  10. JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena

    Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
  11. JamiiForums Tanzania Kuikomboa Tanzania inahitaji msaada wa nchi nyingine kiuvamizi kama Uganda, la sivyo tutaishi maisha ya kumwaga damu

    Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka. Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumeshuhudia mauaji makubwa Oct 29. Ni kwanini tunataka maandamano tena wakati tunajua watu watapoteza maisha?

    Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu Muumbaji ndio msaada wa hakika tupopatwa na shida za maisha

    Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho kifaa ni mwanadamu. Kila mtengenezaji wa kifaa anajua muundo wa ndani, waya gani unaenda wapi, program...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  16. JamiiForums Tanzania Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

    Movie ya Michael inakuja 2026. Teaser ishatoka. Lions Gate wanasimamia show. Kama haitoshi, Jaafar Jackson ataigiza kama Michael himself.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  18. JamiiForums Tanzania Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

    Haijaisha mpaka iishe. Tunaanza walipoishia wao. Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo. Promo zao zimewaponza, tunaanza walipoishia wao, wasifikiri vita imeisha ,ngoma bado mbichi sana...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

    Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi. Zamani wanepali wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kidonda kitapona maisha yataendelee, Uhuru una gharama zake

    Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala kuzingatia utu na utanzania wetu, Hata hivyo kila jambo lina mwisho. Maisha lazima yaendelee. Heshima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…