maisha

  1. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kudhibiti matumizi mabaya ya Bima?

    Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa. Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

    Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️ Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂 Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪 Aiseh hakuna kitu sipendi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Furahia kuwa Askari katika Maisha yako na Don Nalimison

    Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician &advisor, appreciate yourself as being a soldier . Everyone is a Soldier in his/her life...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

    .......YNWA...... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE
  10. JamiiForums Tanzania Unapitia Maisha magumu ebu jifunze kwa huyu kiumbe

  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi yana nguvu ya kubadilisha maisha na kila kitu. Sikiliza hii

    LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed. . This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True Love in Society and between Couples, enjoy it by watching now.
  12. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

    Nazani mimi sio mtu pekee kukaa na kujua kua nimekosea baada ya kosa kujitokeza. Lakini mimi kabla sijaendelea kosea us long am not dead man kuna baazi ya vitu nilikosea na kujua nimekosea nikiwa nimechelewa kwa namna moja au ingini ikiwa. 1. Wengi tunatumia miaka 20 kuofia kua tunafwatiliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Aslay na Mario nawakubali sana, pamoja na ustaa wao wanaishi maisha ya kawaida sana

    Ni wasanii wa bongo freva ambao ukiachilia mbali mond, kiba, konde. Wana wafuasi wengi Sana kwenye mitandao ya kijamii. Hiyo inaashilia ukubwa wao na ni kiashirio cha kwamba wanakubalika sana mtaani. Pia ni wasanii ambao hawategemei kiki au promo yeyote ile ili wasogeze muziki wao. Kutokana...
  14. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Maisha ya Don Nalimison Kiko njiani!!!

  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  16. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

    Hope mpo good mapopo wenzangu Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto haikimbiwi, inakabiliwa

    Kila changamoto inapokuja kwenye maisha huwa inakuja kwa sababu maalumu na siyo kwa bahati mbaya, kwa hiyo hutakiwi kuikimbia changamoto inayokukabili na badala yake unapaswa kuikabili changamoto yako kwa akili, hekima na utashi wa hali ya juu sana kwa sababu; 1. Kila changamoto inakuja...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yangekuwa rahisi sana kama wenye nyumba wangekuwa wanatulipisha pango per day

    Mfano unalipa chumba elfu 30 kwa mwezi. Inafika mwisho wa mwezi umejibana bana katika kipato/mshahara wako umebaki na tsh 20000(kuna watu wamecheka hapa)... Unafika kwa landlord anakuzingua anataka yote full ,atafoka, atajaza watu nk.. si kudhalilika huku Ila wakikubali kila siku kupokea buku...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli kabisa maisha ni magumu

    Kuficha kusema ukweli ni ujinga na unafki. Ndani ya miaka hii 5 maisha yamekuwa magumu kupita kiasi kwa sababu ya serikali ya CCM. Wao wamehodhi madaraka wanalipana mishahara mizuri na marupurupu na kupandishana vyeo tu, pesa hakuna wamewabana watumishi wa umma hawawaongezei mishahara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…